Ushauri weni: Mama wa mtoto hatumi pesa ya matumizi nichukue hatua gani?

Nikiwa chuo niliishi kinyumba na dada mmoja tukabahatika kupata binti mrembo

Ila chuo kilipoisha ni km penzi lilikuwa linaelekea kufa bahati mbaya😡 akapata ajira mkoani
Kwa kuwa mtoto alifkisha miaka mitano tukakubaliana abaki kwetu aishi na bibi ake (mzazi wangu) Ili apate utulivu kwan hata hivyo muda mwingi alikuwa anaishi naye

Ila kinachonikera huyu hatutumii pesa ya matumizi mimi na mtoto wetu 😡

Yeye anapiga simu tu kwa bimkubwa kuongea na mtoto kila siku ila pesa hatutumii nifanyaje?😡

Nilifkiri kwenda mahakamani ila sijui utaratibu km unaruhusu kumshtak mwanamke asiyetunza mtoto wake

Msaaada wenu
Nimeisoma hii kwa sauti ya Kipwani. 😁
 
Kuna baby mama, halafu kuna huyu baby dad wa mtu. 😅😅😅😅😅 jamani wewe dada kwanini humtunzi mwanaume na mtoto wako. Tuma hela amekuja kutulalamikia. Wanaume mmewakilishwa leo 🙊🙊🙊
 
Nikiwa chuo niliishi kinyumba na dada mmoja tukabahatika kupata binti mrembo

Ila chuo kilipoisha ni km penzi lilikuwa linaelekea kufa bahati mbaya akapata ajira mkoani
Kwa kuwa mtoto alifkisha miaka mitano tukakubaliana abaki kwetu aishi na bibi ake (mzazi wangu) Ili apate utulivu kwan hata hivyo muda mwingi alikuwa anaishi naye

Ila kinachonikera huyu hatutumii pesa ya matumizi mimi na mtoto wetu

Yeye anapiga simu tu kwa bimkubwa kuongea na mtoto kila siku ila pesa hatutumii nifanyaje?

Nilifkiri kwenda mahakamani ila sijui utaratibu km unaruhusu kumshtak mwanamke asiyetunza mtoto wake

Msaaada wenu
Wewe ni jinsia ipi kati ya Me na Ke. Kama wewe ni Me kweli una uhakika wewe ndio ulimpa huyo mwanamke mimba?
 
Kama,ni kweli we,utakuwa ni,mwanaume basi,Mungu anisamehee kwa,nilicho kuwazia ila,kama ni,tofauti,na,apo wala usijali utatunzwa we,na,mtoto wako sawa!! kikubwa ni,ushilikiano,wako,tu baby
 
Nasimama na miungu na mizimu ya kwetu na isije na isiwe hata kidogo kutokea kumpata mtoto asiye na akili Wala uchafu katika ubongo Kama ilivyo kwa haka katoto kalikoandika mada hii
 
Nikiwa chuo niliishi kinyumba na dada mmoja tukabahatika kupata binti mrembo

Ila chuo kilipoisha ni km penzi lilikuwa linaelekea kufa bahati mbaya akapata ajira mkoani
Kwa kuwa mtoto alifkisha miaka mitano tukakubaliana abaki kwetu aishi na bibi ake (mzazi wangu) Ili apate utulivu kwan hata hivyo muda mwingi alikuwa anaishi naye

Ila kinachonikera huyu hatutumii pesa ya matumizi mimi na mtoto wetu

Yeye anapiga simu tu kwa bimkubwa kuongea na mtoto kila siku ila pesa hatutumii nifanyaje?

Nilifkiri kwenda mahakamani ila sijui utaratibu km unaruhusu kumshtak mwanamke asiyetunza mtoto wake

Msaaada wenu
Tafuta hela atakutafuta mkuu
 
Huyo mtoto amemkosea nini Mungu mpaka amlaani kwa kumpa baba wa ajabu kama huyu! Fare life is a fairlytale.
 
Ila kinachonikera huyu hatutumii pesa ya matumizi mimi na mtoto wetu

☝️☝️☝️☝️☝️Hii kauli ndio imenikera zaidi. Bora hata ungesema hatumi pesa ya matumizi mtoto na sio wewe na mtoto
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom