Ushauri weni: Mama wa mtoto hatumi pesa ya matumizi nichukue hatua gani?

Nimeisoma hii kwa sauti ya Kipwani. 😁
 
Kuna baby mama, halafu kuna huyu baby dad wa mtu. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… jamani wewe dada kwanini humtunzi mwanaume na mtoto wako. Tuma hela amekuja kutulalamikia. Wanaume mmewakilishwa leo πŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™Š
 
Wewe ni jinsia ipi kati ya Me na Ke. Kama wewe ni Me kweli una uhakika wewe ndio ulimpa huyo mwanamke mimba?
 
Kama,ni kweli we,utakuwa ni,mwanaume basi,Mungu anisamehee kwa,nilicho kuwazia ila,kama ni,tofauti,na,apo wala usijali utatunzwa we,na,mtoto wako sawa!! kikubwa ni,ushilikiano,wako,tu baby
 
Nasimama na miungu na mizimu ya kwetu na isije na isiwe hata kidogo kutokea kumpata mtoto asiye na akili Wala uchafu katika ubongo Kama ilivyo kwa haka katoto kalikoandika mada hii
 
Tafuta hela atakutafuta mkuu
 
Huyo mtoto amemkosea nini Mungu mpaka amlaani kwa kumpa baba wa ajabu kama huyu! Fare life is a fairlytale.
 
Ila kinachonikera huyu hatutumii pesa ya matumizi mimi na mtoto wetu

☝️☝️☝️☝️☝️Hii kauli ndio imenikera zaidi. Bora hata ungesema hatumi pesa ya matumizi mtoto na sio wewe na mtoto
 
Ila kinachonikera huyu hatutumii pesa ya matumizi mimi na mtoto wetu

☝️☝️☝️☝️☝️Hii kauli ndio imenikera zaidi. Bora hata ungesema hatumi pesa ya matumizi mtoto na sio wewe na mtoto
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…