Ushauri weni: Mama wa mtoto hatumi pesa ya matumizi nichukue hatua gani?

Sijasoma walicho changia wengine BUT nimeogopa sana wallah; kama vijana wetu wa kiume ndio wapo hivi, hi ni zaidi ya hatari. Tuna vijana wa kiume wengi sana kuliko WANAUME. Yaani mwanaume kabisa unaomba pesa ya matumizi kwa mwanamke? Inashangaza sana
 
Unatupanga tu jombaa, hamna kitu kama hiko...Au labda uwe ni ke mwenye ID ya me na hapo kwenye mama umekusudia baba
 
Unayo hoja ya msingi ndugu, Tena mama anayo ajira na malezi yanawahusu wazazi wote. Si vibaya nae akichangia japo kiduchu. Sema nae mzazi mwenzio.
 
 
Wewe sijui uko upande gani kati ya mpumbavu na mjinga? Mtoto yupo kwa bibi yake, maana yake wewe huwajibiki kwa chochote kwake! Unataka mama wa mtoto akutumie matumizi, uwanaume wako upo wapi sasa? Au ni shoga?
 
Yeye aliajiriwa najua analipwa vizur tu
Huo mshahara anaopata anapeleka wapi 🤔
 
[emoji53]
 
Huu ujumbe ni wenyewe au moderator wame edit jinsia ya mfungua Uzi na mlalamikiwa🤔🤔??
 
Beba mtoto mfuate huko huko mkaishi wote mlee mtoto wenu... hata kama kila mtu alalala chumba chake lakini mtoto apate matunzo ya mama na baba. Uzinzi wenu usimtese Mama..... pambaneni wenyewe..
Out of bonds
 
Unayo hoja ya msingi ndugu, Tena mama anayo ajira na malezi yanawahusu wazazi wote. Si vibaya nae akichangia japo kiduchu. Sema nae mzazi mwenzio.
Bora umefkiri kwa kina kuliko wanaotukana
Watanzania wanapenda kushambulia mtu bila sababu
 
Lazima akutumie Pesa ya matumizi kwa maana keshakuchezea na kukuharibia ujana wako mpeleke dawati la jinsia kabla hujaenda mahakamani.
 
Ningepata mwanamke wa kuniachia mwanangu kama hivi ningefurahi sana, Kijana Umepata nafasi nzuri unataka kuichezea ww mwanaume ukadai matumizi kwa mwanamke.
Hata uko Dawati la jamiii hawatokuelewa kule wao wanatetea wanawake na Watoto. Mwanaume hauna nafasi Dawati ya kupata usawa, usawa upo kwenye maongezi ya Radio station
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…