Ushauri weni: Mama wa mtoto hatumi pesa ya matumizi nichukue hatua gani?

Hii sheria ibadilishwe, jukumu liwe ni la mama, kwa sababu tuna uhakika kabisa ni mama yake mzazi, baba anaweza kuwa alibambikwa tu.
 
Aibu mnaona nyinyi wanaume wenzake 🤦🏾‍♂️🙆🏾

Nahisi mtoto wa mwisho / mziwanda wa mama, wanapendaga sana kujivictimize.

 
Kutwa tunasimangwa htauolewi
Wanaume wenyewe ndo hawa
 
Jinyonge
 
Huyo mwanamke ni mshenzi na hana adabu kabisa kwa nini hakutumii hela ya matumizi wewe na mtoto? Mpeleke dawati la malalamiko aitwe aulizwe hiyo siyo haki kabisa
 
Mie nadhan hakukosea na apongezwe na ameelewa au ana ufaham mzur wa Dunia hii wapi ILIPO na inapokwenda kama wanawake wanataka 50 kwa 50 nadhan iwe hivyooo tu hakuna namna!
 
Sikumtongoza yeye alini munitipulate alijileta mwenyewe kwanza aliniweka busy skuenjoy maisha ya chuo😡
Sikiza kaka.jitaffute sana ulee mtoto mwenyewe.huyo mtoto ni jukumu lako pia
Mwanaume kulilia pesa ya mwanamke ni kujidhalilisha.
Pambana hata ukipata buku Ina nafasi yake katika mahitaji.kadri siku ziendavyo utazoea na utamsahau.
Wanawake wa kuitwa single mother wanapambana barabarani kulea watoto wenyewe..vipi wewe mwanaume?
 
Angekuwa jobless it's ok lkn alipata ajira sehemu inalipa vizur
Hana huruma uyu maybe amepata mtu anarubuni
 
Nchi inazidi kupoteza nguvu kazi
 
Mwanaume mzima wakati unamwagia ndani, ulifikiri nani wakuja kukusaidia hela za malezi?

Komaa na kiumbe chako ulichokileta duniani.

Hakuna aliyekusaidia kumwagia ndani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…