Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie naona bora ukamtengeneze tuu mzee maana ananroho mbaya tuu.Habarini ndugu zangu, poleni na majukumu ya kazi, naombeni ushauri wenu maana nimeshikwa na gadhabu sana tangu siku ya jana.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 39, na kwetu tumezaliwa watatu tu mimi nikiwa wa kwanza, elimu yangu ni degree 1, baada ya kumaliza chuo na kukosa ajira nikawa tu nyumbani kusikilizia mishe kama itatokea, kulitokea kutokuelewana na mzee wangu (hii nilishaielezea humu humu, baba hakutaka kabisa nimuambie mambo ya kujiunga na chama changu cha mapinduzi), akanitimua nyumbani, nikaenda kuishi kwa rafiki yangu huku maisha yakiwa magumu kweli kweli sijapata kushuhudia
Basi siku ya juzi nilimpigia simu mama kumuambia sijala nina siku ya 2, mama yangu alilia sana, nikamuomba aniombee msamaha kwa baba ili niweze kurudi kuishi kpale kwetu ila la kushangaza mama alipomuambia baba, mzee alikataa kabisa kuniona, ikabidi niende home jana kwa kulazimisha nimefika getini nikagonga alikuja mlinzi kunifungulia, alipo niona ni mimi akasema baba amesema asione uso wangu kwenye ile nyumba, nikamuambia nimerudi na hapa ni kwetu, kumbe muda huo baba anaangalia dirishani, alipo niona akatoka nje akiwa na nyundo, akaniambia nimeshakuwa mtu mzima asione kabisa pale, niliumia sana ndugu zangu, nikaona kama baba yangu amefikia kuwa na roho ya kinyama na kikatili wakati mimi pale ni kwetu, kukatokea mabishano makali sana siku ya jana.
Baada ya mabishano ya kama dk tatu sikuamini masikio na maneno ya baba yangu, alisema hivi: "wewe mbwa sikutambui, haujielewi mbwa mkubwa wewe, ndio maana kwenye urithi wangu sijakuweka na mwezi huu wa sita nauza mali zangu nawagawia ndugu zako sehemu ya pesa wakaendeleze maisha yao huko walipo" wakuu hii kauli imeniuma mnoo
Wakuu naombeni ushauri wenu, huyu mzee nataka nikamshtaki mahakamani maana mimi ni mtoto wake mkubwa na tumefanana mnooo. Mimi nilipaswa nikabidhiwa sehemu ya mali, wakuu sipati usingizi kabisa, nahisi kuchanganyikiwa kabisa, huyu mzee nataka akakae hata jela miezi mitatu ili aweze kuona uchungu wa kugawa mali kwa upendeleo
Kuna rafiki yangu alinipa option ya kwenda kwa mganga wa kienyeji ili niweze kumkamata mzee kila nitakachoongea aweze kukubaliana na mimi
Nachukua kwanza maoni yenu wakuu.
Karibuni.
Ni za kwakemkuu uyu mzee sasaivi nahisi ametawaliwa na roho mbaya sana, nataka nipate na mimi maali siwezi kubali jasho langu lipotee mkuu.
Anajiita kinjana wa 39 years?Nakumbuka uzi wako boss[emoji23]
Hivi bado unapigania urithi..Serious?
Ondoka hapo nenda kapambane upate zako jamii itakuheshimu..Duniani usipokuwa na akili + mali ulizopigania mwenyewe utanyanyaswa sana usiku + mchana
Ni hayo tuu Mr Kikohozi
Wewe unaumwa!! Jasho lipi ulitoa. Si alikusomesha? Nadhani unavuta bangi au unapakatwa ndicho kitu kinampa hasira baba yako. Afterall hata mimi wanangu hawana urithi maana hata mie sikupata urithi toka kwa baba na baba hakupata urithi toka kwa babu. Kwa ukoo wetu mrithi ni mjukuu na wala si mwanao.mkuu uyu mzee sasaivi nahisi ametawaliwa na roho mbaya sana, nataka nipate na mimi maali siwezi kubali jasho langu lipotee mkuu.
ni maisha tu mkuuMiaka 39.
Degree 1.
Jobless.
Familyless.
Commonsenseless.
Yani kwako kila kitu ni less.
Unforgetable[/Un
[/QUOTE]
Shida ya matoto kuyalea ki mama mama limenikera in mkapa voice pumbavuWewe jamaa yani unataka kumuekea mzee wako LIMBWATA
aliporudisha huu uzi bado amenishangaza sana,vijana wa miaka 22 wanachacharika usiku + mchana wamewekeza kwenye small business...Ila huyu Kamanda na umri wake wote analilia mali + urithi.Anajiita kinjana wa 39 years?
Huyo ni MTU mzima sana
Aaah mkuu huyo siyo mtoto tena n Babu wa kiume Sasa ameshavuka utoto na ujanaTafuta zako acha kulia kulia mtoto wa kiume wewe shauri zako
Mkuu kwani ulizaliwa ili utegemee urithi wa baba ako. Miaka 39 tafuta zako. Urithi wako ni elimu uliyopewa na Baba ako. Sasa kama una degree moja na bado hujitambui kwann ulienda shule?Habarini ndugu zangu, poleni na majukumu ya kazi, naombeni ushauri wenu maana nimeshikwa na gadhabu sana tangu siku ya jana.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 39, na kwetu tumezaliwa watatu tu mimi nikiwa wa kwanza, elimu yangu ni degree 1, baada ya kumaliza chuo na kukosa ajira nikawa tu nyumbani kusikilizia mishe kama itatokea, kulitokea kutokuelewana na mzee wangu (hii nilishaielezea humu humu, baba hakutaka kabisa nimuambie mambo ya kujiunga na chama changu cha mapinduzi), akanitimua nyumbani, nikaenda kuishi kwa rafiki yangu huku maisha yakiwa magumu kweli kweli sijapata kushuhudia
Basi siku ya juzi nilimpigia simu mama kumuambia sijala nina siku ya 2, mama yangu alilia sana, nikamuomba aniombee msamaha kwa baba ili niweze kurudi kuishi kpale kwetu ila la kushangaza mama alipomuambia baba, mzee alikataa kabisa kuniona, ikabidi niende home jana kwa kulazimisha nimefika getini nikagonga alikuja mlinzi kunifungulia, alipo niona ni mimi akasema baba amesema asione uso wangu kwenye ile nyumba, nikamuambia nimerudi na hapa ni kwetu, kumbe muda huo baba anaangalia dirishani, alipo niona akatoka nje akiwa na nyundo, akaniambia nimeshakuwa mtu mzima asione kabisa pale, niliumia sana ndugu zangu, nikaona kama baba yangu amefikia kuwa na roho ya kinyama na kikatili wakati mimi pale ni kwetu, kukatokea mabishano makali sana siku ya jana.
Baada ya mabishano ya kama dk tatu sikuamini masikio na maneno ya baba yangu, alisema hivi: "wewe mbwa sikutambui, haujielewi mbwa mkubwa wewe, ndio maana kwenye urithi wangu sijakuweka na mwezi huu wa sita nauza mali zangu nawagawia ndugu zako sehemu ya pesa wakaendeleze maisha yao huko walipo" wakuu hii kauli imeniuma mnoo
Wakuu naombeni ushauri wenu, huyu mzee nataka nikamshtaki mahakamani maana mimi ni mtoto wake mkubwa na tumefanana mnooo. Mimi nilipaswa nikabidhiwa sehemu ya mali, wakuu sipati usingizi kabisa, nahisi kuchanganyikiwa kabisa, huyu mzee nataka akakae hata jela miezi mitatu ili aweze kuona uchungu wa kugawa mali kwa upendeleo
Kuna rafiki yangu alinipa option ya kwenda kwa mganga wa kienyeji ili niweze kumkamata mzee kila nitakachoongea aweze kukubaliana na mimi
Nachukua kwanza maoni yenu wakuu.
Karibuni.
Habarini ndugu zangu, poleni na majukumu ya kazi, naombeni ushauri wenu maana nimeshikwa na gadhabu sana tangu siku ya jana.

Kabla sijaanza kuichambua hii mada kiundani tayari nimeshaona wewe kijana mwenzetu una matatizo tena makubwa sana.Habarini ndugu zangu, poleni na majukumu ya kazi, naombeni ushauri wenu maana nimeshikwa na gadhabu sana tangu siku ya jana.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 39, na kwetu tumezaliwa watatu tu mimi nikiwa wa kwanza, elimu yangu ni degree 1, baada ya kumaliza chuo na kukosa ajira nikawa tu nyumbani kusikilizia mishe kama itatokea, kulitokea kutokuelewana na mzee wangu (hii nilishaielezea humu humu, baba hakutaka kabisa nimuambie mambo ya kujiunga na chama changu cha mapinduzi), akanitimua nyumbani, nikaenda kuishi kwa rafiki yangu huku maisha yakiwa magumu kweli kweli sijapata kushuhudia
Basi siku ya juzi nilimpigia simu mama kumuambia sijala nina siku ya 2, mama yangu alilia sana, nikamuomba aniombee msamaha kwa baba ili niweze kurudi kuishi kpale kwetu ila la kushangaza mama alipomuambia baba, mzee alikataa kabisa kuniona, ikabidi niende home jana kwa kulazimisha nimefika getini nikagonga alikuja mlinzi kunifungulia, alipo niona ni mimi akasema baba amesema asione uso wangu kwenye ile nyumba, nikamuambia nimerudi na hapa ni kwetu, kumbe muda huo baba anaangalia dirishani, alipo niona akatoka nje akiwa na nyundo, akaniambia nimeshakuwa mtu mzima asione kabisa pale, niliumia sana ndugu zangu, nikaona kama baba yangu amefikia kuwa na roho ya kinyama na kikatili wakati mimi pale ni kwetu, kukatokea mabishano makali sana siku ya jana.
Baada ya mabishano ya kama dk tatu sikuamini masikio na maneno ya baba yangu, alisema hivi: "wewe mbwa sikutambui, haujielewi mbwa mkubwa wewe, ndio maana kwenye urithi wangu sijakuweka na mwezi huu wa sita nauza mali zangu nawagawia ndugu zako sehemu ya pesa wakaendeleze maisha yao huko walipo" wakuu hii kauli imeniuma mnoo
Wakuu naombeni ushauri wenu, huyu mzee nataka nikamshtaki mahakamani maana mimi ni mtoto wake mkubwa na tumefanana mnooo. Mimi nilipaswa nikabidhiwa sehemu ya mali, wakuu sipati usingizi kabisa, nahisi kuchanganyikiwa kabisa, huyu mzee nataka akakae hata jela miezi mitatu ili aweze kuona uchungu wa kugawa mali kwa upendeleo
Kuna rafiki yangu alinipa option ya kwenda kwa mganga wa kienyeji ili niweze kumkamata mzee kila nitakachoongea aweze kukubaliana na mimi
Nachukua kwanza maoni yenu wakuu.
Karibuni.
Kajinyonge maana huna faida yoyote.Habarini ndugu zangu, poleni na majukumu ya kazi, naombeni ushauri wenu maana nimeshikwa na gadhabu sana tangu siku ya jana.