Ushauri wenu: Baba anataka kuuza mali, hataki kunigawia mimi mwanae

Wewe

Siku nyengine huna ajira

Siku nyengine unayo umeunganishwa na mama

Mala maisha magumu hata pesa ya kula huna

Mala una pesa nyingi mpaka unanunua viwanja

mala unaulizia gari la kununua

Leo tena jana hukuwa na pesa ya kula
 
Mie naona bora ukamtengeneze tuu mzee maana ananroho mbaya tuu.
 
Nakumbuka uzi wako boss[emoji23]

Hivi bado unapigania urithi..Serious?

Ondoka hapo nenda kapambane upate zako jamii itakuheshimu..Duniani usipokuwa na akili + mali ulizopigania mwenyewe utanyanyaswa sana usiku + mchana

Ni hayo tuu Mr Kikohozi
Anajiita kinjana wa 39 years?

Huyo ni MTU mzima sana
 
mkuu uyu mzee sasaivi nahisi ametawaliwa na roho mbaya sana, nataka nipate na mimi maali siwezi kubali jasho langu lipotee mkuu.
Wewe unaumwa!! Jasho lipi ulitoa. Si alikusomesha? Nadhani unavuta bangi au unapakatwa ndicho kitu kinampa hasira baba yako. Afterall hata mimi wanangu hawana urithi maana hata mie sikupata urithi toka kwa baba na baba hakupata urithi toka kwa babu. Kwa ukoo wetu mrithi ni mjukuu na wala si mwanao.
 
Anajiita kinjana wa 39 years?

Huyo ni MTU mzima sana
aliporudisha huu uzi bado amenishangaza sana,vijana wa miaka 22 wanachacharika usiku + mchana wamewekeza kwenye small business...Ila huyu Kamanda na umri wake wote analilia mali + urithi.


Alafu chanzo cha mzee wake kumtimua sio suala la kichama,kuna kitu nyuma ya pazia+ issue ya umri

......Binadamu wengi huwa wana vitu vingi sana rohoni lakini wanashindwa kuvitoa hadi wapate pakuvitolea kama alivyotemewa huyu jamaa kwa sabbu eti ya chama[emoji23]
 
Mkuu kwani ulizaliwa ili utegemee urithi wa baba ako. Miaka 39 tafuta zako. Urithi wako ni elimu uliyopewa na Baba ako. Sasa kama una degree moja na bado hujitambui kwann ulienda shule?
 

Nimesoma tittle sijasoma content ya uzi wala comments, in short tafuta vya kwako vya baba yako havikuhusu kabisaaa...
 
Kabla sijaanza kuichambua hii mada kiundani tayari nimeshaona wewe kijana mwenzetu una matatizo tena makubwa sana.
Mwanaume wa miaka 39 bado unang'ang'ania kuendelea kuishi nyumbani hadi lini?unakwama wapi?hiyo miaka yote ulichelewa wapi?miaka 39 ulitakiwa uwe na nyumba yako,mke na watoto 3 wewe bado unawaza urithi wa nyumbani.
Kwa hesabu za haraka haraka mzee wako anastahili kukufukuza kabisa tena amechelewa sana kukufukuza.
Nina uzoefu na vijana wa aina yako huwa ni changamito sana na hambebeki.
 
Kajinyonge maana huna faida yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…