NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Mzee ashikilie hapo hapo asiachie hata chembe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena akamatie Kwa chini kabisaMzee ashikilie hapo hapo asiachie hata chembe.
Huyu nani?mmm afadhali wewe una miaka 39,, wengine huku tuna miaka 41 hatuna kazi ya kueleweka, hatuna madem tunaachwa kila siku tukiwapata,, wazazi wetu maskini hawana chochote,, tuna vyeti vyetu ndani tumeviihifadhi vizuri kabisa..... yaaan kwa kifupi hatuna namna tumekubaliana na hali halisi
Mzee atakuwa amestuka kwamba wewe siyo mtoto wake! Umepigwa!!Habarini ndugu zangu, poleni na majukumu ya kazi, naombeni ushauri wenu maana nimeshikwa na gadhabu sana tangu siku ya jana.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 39, na kwetu tumezaliwa watatu tu mimi nikiwa wa kwanza, elimu yangu ni degree 1, baada ya kumaliza chuo na kukosa ajira nikawa tu nyumbani kusikilizia mishe kama itatokea, kulitokea kutokuelewana na mzee wangu (hii nilishaielezea humu humu, baba hakutaka kabisa nimuambie mambo ya kujiunga na chama changu cha mapinduzi), akanitimua nyumbani, nikaenda kuishi kwa rafiki yangu huku maisha yakiwa magumu kweli kweli sijapata kushuhudia
Basi siku ya juzi nilimpigia simu mama kumuambia sijala nina siku ya 2, mama yangu alilia sana, nikamuomba aniombee msamaha kwa baba ili niweze kurudi kuishi kpale kwetu ila la kushangaza mama alipomuambia baba, mzee alikataa kabisa kuniona, ikabidi niende home jana kwa kulazimisha nimefika getini nikagonga alikuja mlinzi kunifungulia, alipo niona ni mimi akasema baba amesema asione uso wangu kwenye ile nyumba, nikamuambia nimerudi na hapa ni kwetu, kumbe muda huo baba anaangalia dirishani, alipo niona akatoka nje akiwa na nyundo, akaniambia nimeshakuwa mtu mzima asione kabisa pale, niliumia sana ndugu zangu, nikaona kama baba yangu amefikia kuwa na roho ya kinyama na kikatili wakati mimi pale ni kwetu, kukatokea mabishano makali sana siku ya jana.
Baada ya mabishano ya kama dk tatu sikuamini masikio na maneno ya baba yangu, alisema hivi: "wewe mbwa sikutambui, haujielewi mbwa mkubwa wewe, ndio maana kwenye urithi wangu sijakuweka na mwezi huu wa sita nauza mali zangu nawagawia ndugu zako sehemu ya pesa wakaendeleze maisha yao huko walipo" wakuu hii kauli imeniuma mnoo
Wakuu naombeni ushauri wenu, huyu mzee nataka nikamshtaki mahakamani maana mimi ni mtoto wake mkubwa na tumefanana mnooo. Mimi nilipaswa nikabidhiwa sehemu ya mali, wakuu sipati usingizi kabisa, nahisi kuchanganyikiwa kabisa, huyu mzee nataka akakae hata jela miezi mitatu ili aweze kuona uchungu wa kugawa mali kwa upendeleo
Kuna rafiki yangu alinipa option ya kwenda kwa mganga wa kienyeji ili niweze kumkamata mzee kila nitakachoongea aweze kukubaliana na mimi
Nachukua kwanza maoni yenu wakuu.
Karibuni.
Yaani dingi kumtoa kwenye urithi ni haki kabisa. Eti linasema kuna jasho umetoa. Ametoa kwa kula na kulala bure kwenye nyumba ya baba yake? Angekuwa na haki na hiyo mali iwapo mzee amekufa na hajaacha usia wowote. LAkini kama kishaacha usia mgawanyo wa mali uweje, hapo hana chakeWewe unaumwa!! Jasho lipi ulitoa. Si alikusomesha? Nadhani unavuta bangi au unapakatwa ndicho kitu kinampa hasira baba yako. Afterall hata mimi wanangu hawana urithi maana hata mie sikupata urithi toka kwa baba na baba hakupata urithi toka kwa babu. Kwa ukoo wetu mrithi ni mjukuu na wala si mwanao.
huyo mbona simjui ametokea wapi mkuu?Huyu nani?View attachment 1719352
Mkuu me pia mwanzoni nilikuwa nahisi ni chai ila sasa nimeanza kuamini huyu bwege yupo serious..Chai ya limao Tangawizi na vitunguu saumu.
.
Mbona kama unatafuta huruma ya ccm?Habarini ndugu zangu, poleni na majukumu ya kazi, naombeni ushauri wenu maana nimeshikwa na gadhabu sana tangu siku ya jana.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 39, na kwetu tumezaliwa watatu tu mimi nikiwa wa kwanza, elimu yangu ni degree 1, baada ya kumaliza chuo na kukosa ajira nikawa tu nyumbani kusikilizia mishe kama itatokea, kulitokea kutokuelewana na mzee wangu (hii nilishaielezea humu humu, baba hakutaka kabisa nimuambie mambo ya kujiunga na chama changu cha mapinduzi), akanitimua nyumbani, nikaenda kuishi kwa rafiki yangu huku maisha yakiwa magumu kweli kweli sijapata kushuhudia
Basi siku ya juzi nilimpigia simu mama kumuambia sijala nina siku ya 2, mama yangu alilia sana, nikamuomba aniombee msamaha kwa baba ili niweze kurudi kuishi kpale kwetu ila la kushangaza mama alipomuambia baba, mzee alikataa kabisa kuniona, ikabidi niende home jana kwa kulazimisha nimefika getini nikagonga alikuja mlinzi kunifungulia, alipo niona ni mimi akasema baba amesema asione uso wangu kwenye ile nyumba, nikamuambia nimerudi na hapa ni kwetu, kumbe muda huo baba anaangalia dirishani, alipo niona akatoka nje akiwa na nyundo, akaniambia nimeshakuwa mtu mzima asione kabisa pale, niliumia sana ndugu zangu, nikaona kama baba yangu amefikia kuwa na roho ya kinyama na kikatili wakati mimi pale ni kwetu, kukatokea mabishano makali sana siku ya jana.
Baada ya mabishano ya kama dk tatu sikuamini masikio na maneno ya baba yangu, alisema hivi: "wewe mbwa sikutambui, haujielewi mbwa mkubwa wewe, ndio maana kwenye urithi wangu sijakuweka na mwezi huu wa sita nauza mali zangu nawagawia ndugu zako sehemu ya pesa wakaendeleze maisha yao huko walipo" wakuu hii kauli imeniuma mnoo
Wakuu naombeni ushauri wenu, huyu mzee nataka nikamshtaki mahakamani maana mimi ni mtoto wake mkubwa na tumefanana mnooo. Mimi nilipaswa nikabidhiwa sehemu ya mali, wakuu sipati usingizi kabisa, nahisi kuchanganyikiwa kabisa, huyu mzee nataka akakae hata jela miezi mitatu ili aweze kuona uchungu wa kugawa mali kwa upendeleo
Kuna rafiki yangu alinipa option ya kwenda kwa mganga wa kienyeji ili niweze kumkamata mzee kila nitakachoongea aweze kukubaliana na mimi
Nachukua kwanza maoni yenu wakuu.
Karibuni.
Habarini ndugu zangu, poleni na majukumu ya kazi, naombeni ushauri wenu maana nimeshikwa na gadhabu sana tangu siku ya jana.