Ushauri wenu: Baba anataka kuuza mali, hataki kunigawia mimi mwanae

Huyu nani?
 
Badilisha ID yako badala ya Kikoozi jiite Kohozi-maana mnafanana kiakili na makohozi.
 
Mzee atakuwa amestuka kwamba wewe siyo mtoto wake! Umepigwa!!
 
Nilitimuliwa kwa sms tu nikiwa na 24 yrs mwaka wa mwisho chuo, mzee kavu sana yule ila alhamdulillah alinisaidia sikubweteka
 
Yaani dingi kumtoa kwenye urithi ni haki kabisa. Eti linasema kuna jasho umetoa. Ametoa kwa kula na kulala bure kwenye nyumba ya baba yake? Angekuwa na haki na hiyo mali iwapo mzee amekufa na hajaacha usia wowote. LAkini kama kishaacha usia mgawanyo wa mali uweje, hapo hana chake
 
Wee jamaa hizi story zako mwanzo nilijua Unatunga maana ni ngumi kupata kijana wa Umri wako mwenye Akili ndogo kiasi hicho yani.. nampa pole sana mzee wako maana kupata mtoto kama wewe ni zaidi ya Mzigo yani!! Punguza ujingaa tafuta maisha yakooo huwezi kuwa na miaka 39 unafikiria mali za baba yako hadi leo Unaongelea habari za Kumaliza chuo bogus kabisa. Unaboa sana yani natamani nikujue yani siku nikunasee vibao.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Miaka 39. Unalala njaa siku 2?
Miaka 39 unalilia Mali za baba?
Miaka 39 bado huna familia?
Miaka 39 unaishi kwa baba?

Bilqshaka kuna tatizo kichwan baba kqshaliona na anataka akusaidie kwa njia za kiume kama hivyo kufukuzwa


Njoo nikupe shamba ulime mpunga
 
Mnakaa mnapoteza bundle, muda na nguvu zenu kujibu watu na thread za kipumba.vu sampuli hii

Mijitu ya hivi huwa siijibugi na ignore nayaachaga na upu.mbavu wao
 
Mbona kama unatafuta huruma ya ccm?
 

Kwanza, kama mzee wako ana mali nyingi inamaanisha ana akili nzuri ya maisha na anaishi vizuri na watu ndio maana hata ndoa yake imedumu. Kwa kusema hayo nikilinganisha na namna anavyokuchukia inaonekana wewe una shida kinoma, hata msamaha wako unauona kama unazingua, anaona hata akikupa mali utazitumia vibaya. Wewe ni msomi, tafuta njia nzuri professional ya kumshawishi akugawie, achana na hizi emotional apologies ambazo hatakuamini kamwe. Andika official proposal kuonesha una nia gani na maisha na unaregret vipi ulivyomkosea, pangilia chart ya biashara au investment kwenye hiyo proposal ya namna utaitumia hiyo mali na namna utakavyommake proud, tafuta hata mtu akusaidie. Vinginevyo andikia maumivu na hata ukienda mahakamani atakushinda tu. Huko kwa mganga sijui, ila kunakuwaga na matatizo tu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…