Ushauri wenu: Baba anataka kuuza mali, hataki kunigawia mimi mwanae

Mkuu ktk vitu ambavyo ni vyako lakini vinaweza kukuua ni.

-- Mali yako.

-- Mke wako.

-- watoto wako..

Vilishazungumzwa ktk vitabu vya Mungu..

Hayo yako ni ushuhuda tosha kabisa,,

Nakushauri tafuta Mali zako,,wachana na kufikiria Mali za urithi,tena ingali mzazi wako yupo hai.

Mwishowe wa yote,,
-- utakuwa Mchawi.

---utakuja kumpiga nyundo Mzee wa watu,,umuue.

Ukose PESA uozee jela.
 
Mnakaa mnapoteza bundle, muda na nguvu zenu kujibu watu na thread za kipumba.vu sampuli hii

Mijitu ya hivi huwa siijibugi na ignore nayaachaga na upu.mbavu wao
Mbona umejibu?
 
Unajua alikotafutia!!?

Nawewe katafute zako.
 
Laiti Wapuuzi na Punguwani wangekua na kanchi kao hakika we ungekua Rais ambaye ungewatawala kwa miongo mingi
 
Ningekuwa najuana na baba yako ningemuazima pistol aisee. Miaka 39 uko kwenu duu punguza ujinga chief. Mi nimetoka home nina miaka 15 na ni la saba nakushangaa aisee.
 
😀😀...ila we jamaa bwana..enwei nikutakie jioni njema.
 
[emoji81][emoji81][emoji81]dab imebidi tu nicheke maana
 
Hapana mkuu mimi sina shida yeyote, pale ni kwetu mkuu na nina haki ya kupata mgao sawa sawa
Mkuu unataka mgao kwa miaka 40 kasoro iyo kweli huoni hata aibu basi hapo hata mtoto wa kusingiziwa huna jaman jamani
 
mkuu uyu mzee sasaivi nahisi ametawaliwa na roho mbaya sana, nataka nipate na mimi maali siwezi kubali jasho langu lipotee mkuu.
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]eti jasho lako dah ulimsaidia kutafuta [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Hii mada mbona kama ishaletwa humu!!
 
Jamaa uko na problem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…