Habari wakuu
Nina rafiki yangu mmoja sio tu rafiki bali pia amekuwa kama ndugu yangu jamaa anadate na mke wa mtu Tena anakaa nae mtaa mmoja na mine wake ya huyo manzi anamjua, kibaya zaidi ameenda mbali anamgharamia kila kitu na anajua kabisa ni mke wa mtu na hapa anampango wa kumpangishia chumba ili awe nae huru zaidi, baadhi ya ndugu zake wanashida na hata hawajali akili na nguvu kawekeza kwa huyo mke wa mtu.
Ndugu zake amenilalamikia Sana na wameniomba nimshauri ndugu yao by the way binafsi nimejaribu kumshauri anisikii na anapoenda naona kubaya mno na nisingependa apate anguko mimi nikiwa naona nitajaribu mradi akae kwenye mstari mzuri.
Ndugu zangu wanaJf naombeni ushauri ambao Unaweza kumsaidia huyu kijana naamini mnauwezo huo