Ushauri wenu kwenye hili ndugu zangu

asante sana kwa ushauri wako, nimeupokea
 
Chukua ushauri huu ,nyumba siyo lazima iwe kubwa na ya viwago vya halo ya juu hata ya kawaida tu kuliko kuwekeza kiasi chote kwenye biashara wakati kuna wengine hata M5 ni mtaji wa maana wa kuendesha biashara..
 
Write your reply...jenga nyumba ila ijenge kwa raman ambayo uzungukwe na vyumba vng vya kupangisha angalau kw mwez ukusanye angalau kuanzia lak 2 af nyngn fanya biashara au km unajua kuendesha boda au bajaj nunua na ukomae barabaran wemwenyew
 
Umesomea nini? If you don't mind
Kanunue shamba hata ekari 5 mbali na vijiji yaani porini
Tuma vijana wakalisafishe nusu
Anza ufugaji tafuta aliesomea mifugo umpe shares au mshahara mzuri
Hutakuja kujutia

Ila nawe uwe hapo na utapanda mpaka mbogamboga na miti ya matunda
Huu mradi ni mzuri sana Kama utapata mtaalamu mzuri wa kuwatibu na kuwaangalia

Fuga cross breed usihangaike na ng'ombe zetu wala mbuzi zetu hao ni wadogo mno

Mimi najiandaa ku invest 50m kwenye mradi huu
 
Kama ushauri wote uliopewa hapo juu hujachukua mm nakushauri chukua mil 5 tu tumia kufungua duka la nafaka yes namaanisha uza mchele nk au fungua duka la mangi.... Ila kama huna interest ya biashara kabisa Basi don't try business achananayo chukua ushauri mwingine
 
Write your reply...jenga nyumba ila ijenge kwa raman ambayo uzungukwe na vyumba vng vya kupangisha angalau kw mwez ukusanye angalau kuanzia lak 2 af nyngn fanya biashara au km unajua kuendesha boda au bajaj nunua na ukomae barabaran wemwenyew
Asante kwa ushauri wako, nimeupokea
 
Asante kwa ushauri wako, nimeupokea
 
Asante kwa ushauri wako, nimeupokea
 
Chukua bajaji kwanza weka barabarani isimamie vizuri ikulishe wakati huu hauna ajira pesa nyingine weka benki usiiguse huku ukiendelea kufikiria matumizi bora ya hiyo fedha.
 
Anzisha biashara ila kuwa Makini kwenye sehemu mbili
1. Kujali wateja wako maan hao ndyo biashara inyewe usizarau mteja

2. Punguza matumizi yasio na lazima nikiwa na maana ya kuwa.....-yaani ishi kma ulivyokiishi zamani usikuze maitaji kutokana na biashara yako kwenye matumizi ya kawaida.
 
Nakushauri kama kazi inaend kustop nunua ist kisha ujisajili na bolt( taxi za mtandaooni) kwa kuwa itakuwa yako bas asubuh mpk usiku haukosi 30000 au 40000 uku utakuw umepunguza presha na kuendelea kutafuta kazi unayoipenda kdg kdg

Kwann utakuwa haukosi elfu 40 kwa siku kwa sababu watu ambao gari sio zao kwa mabosi wao kila siku hesabu ni elfu 25 hd 30 hapo wanatoa mafuta na hela wanayobaki nayo wao.
 
Na nyumba ikishakuwepo imekuwepo
 
Chukua bajaji kwanza weka barabarani isimamie vizuri ikulishe wakati huu hauna ajira pesa nyingine weka benki usiiguse huku ukiendelea kufikiria matumizi bora ya hiyo fedha.
Asante kwa ushauri wako, nimeupokea
 
Asante kwa ushauri wako, nimeupokea
 
Asante kwa ushauri wako, nimeupokea
 

Braza una biashara yoyote?

Why are you fitting yourself in someone shoes?

#YNWA
 
Tafuta WILAYA inayoendelea kwa kasi au mpya kabisa kama Malinyi huko Morogoro,nunua kiwanja kikubwa chini ya million 5! Yaani Kati kati kabisa mwa mji! Jenga vyumba kama kumi hivi simple kabisa vikubwa ,unaweza kugawa vitano upande mmoja na vingine upande wa pili,viwe self!utumie KARIBU milion 25 kuvijenga!usi complicate sana!

Ili vikulipe laki nne hadi tano kwa Mwezi yaani minimum elfu arobaini kila chumba kwa Mwezi!

Milion 15 zilizo baki jaribu Duka la hardware kama nondo,rangi, cement,Bati na n.k!

Tafuta Sasa ujanja maana Biashara bila ujanja utapigwa,wa kwenda deep wanajua!

Piga kazi uone mwelekeo!!

All the Best!
 
Braza una biashara yoyote?

Why are you fitting yourself in someone shoes?

#YNWA
Nimefanya biashara nazijua. Huyo ni kijana mdogo badala ya kujifrustrate zaidi kwa sasa ni hatari kufanya biashara, atafute kazi akiwa kazini aanze kujenga. Hii ndio njia salama ya kutunza fedha yake. Kufanya biashara kama huna fursa ya uhakika na uzoefu unaweza kupoteza fedha yote uliyonayo akarudi zero ground. Hakuna kitu kibaya kama hicho kwake ndio atakuwa kichaa kabisa.
 

Sasa anapokuwa "Asifanye biashara" hiyo experience ya biashara ataipata wapi??

Na Kazi ya nini ikiwa ana mtaji wa kuingia mtaani?

Mbona sisi tuliokwenye ajira tunawaonea wivu walio na biashara?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…