Ushauri wenu kwenye hili ndugu zangu

Ushauri wenu kwenye hili ndugu zangu

Mi sukushauri chochote. Pesa yako maamuzi yako ili zikipotea usipate mtu wa kulaumu.
 
Mkuu fungua biashara kabla haujajenga 40ml ni pesa inayotosha kufanya biashara ndani ya dar au dodoma, na kwasababu wewe sio mzoefu wa biashara yeyote fanya utafiti wa baadhi biashara ila lenga sana kweny biashara ambayo bidhaa zake hazina expiredate, mfano vifaa vya simu au simu kabisa, naznginezo pia.
 
Back
Top Bottom