Ushauri wenu kwenye hili ndugu zangu

Ushauri wenu kwenye hili ndugu zangu

Kama una kiwanja Jenga vyumba viwili na sebule maswala ya Kodi yaswe kikwazo Tena.

Biashara usikurupuke ... endelea kuomba kazi usikate tamaa
 
Hongera kwa baraka uliyoipata
Cha kufanya wekeza kny real estate mf. Nyumba kama ulivyosema ukipata ambayo unaweza kukodishia watu hio ndio nzuri hutokaa ushiwe Hela ndogo ndogo.

Nilitaka uwekeze kny ardhi lkn kama hio ni long investment nayo inapanda bei lkn return yake ni ya mda mrefu.

Kamwe usiwekeze kny paper investment kwa maelezo zaidi come PM
 
Ushauri wangu kwako jenga nyumba! Chukua m30, jenga nyumba weka wapangaji halafu m10, fanya biashara unayoona inafaa. Naamini ukijenga nyumba kwaajili ya buashara huwezi kosa laki tano kila mwezi kutokana na mapato ya hiyo nyumba
Vizuri cha kumshauri asome na aachane na paper investment atakuja kupata stress
 
Kama unanisikia unaelewa, achana kabisa na kitu kinaitwa biashara. Ndo maana inaitwa bi hasara.
Biashara ni nyepesi kwenye makaratasi.
Biashara ni spirit, biashara ni asili.
Fanya mawili Kati ya haya.
1.Nunua nyumba center hata wilaya iliyochangamka, ibadili iwe guest.
KISHA hio faida ndio ufanyie biashara tena kwa mtaji Mdogo mdogo Ili upate uzoefu.
2.Nunua nyumba kwa m30 pangisha milioni 10 timkia ulaya, kazugie kusoma huku unabeba boksi shule geresha ya kusakia maisha.
 
Hio pesa Katu usiingize kwenye biashara kabla ujaisafisha. Pesa yeyeto mfano ya dili, akiba, rushwa, mkopo isafishe kwanza ndipo usiingize kwenye biashara ukitaka usalama na kama huna uzoefu wa biashara.
Kuisafisha ni kuiingiza kwenye real asset, mfano fremu za kupangisha, nyumba za kupangisha, guest, hotel. Faida ya kodi uipatayo ndio unaingiza kwenye biashara utatoboa.
 
Hio pesa ukiingiza kwenye biashara kisha ikapotea itakuuma sana, ukizingatia ulivyojinyima
 
Nakushauri usitumie hiyo hela kufanya biashara yoyote kwasasa. Na hata ukiamua kuitumia usifanye kitu kingine chochote isipokuwa kujenga. Ila kwasasa wala usiitumie kujenga hadi utakapopata kazi ya uhakika. Kwanini nasema hivi?

Ukiitumia hiyo hela kwenye biashara unaweza kukwama moja kwa moja kimaisha na hakuna jambo baya kama hili!

Ni mbaya mno kwani utakosa hata hela ya kutuma application au kuishi na utakwama kabisa. Endelea kutuma maombi ya kazi na kumweka Mungu mbele. Hofu au stress isikufanye ufanye maamuzi mabaya, kwasasa usifanye kingine isipokuwa kufanya applications hata kama itakuchukua miaka 2 kupata kazi hiyo ni kawaida siku hizi.
Ushauri mbovu unatoa kwa mwenzako
 
Unaweza ukafanya biashara ya kununua mashamba unapima unakata viwanja unauza kwa mkopo, hapa unakuwa na ofisi YAKO huku ukisubiria kuokota Kazi maana ujui ni lini mwaka gani utaokota kazi.
 
Unaweza ukafanya biashara ya kununua mashamba unapima unakata viwanja unauza kwa mkopo, hapa unakuwa na ofisi YAKO huku ukisubiria kuokota Kazi maana ujui ni lini mwaka gani utaokota kazi.
asante kwa ushauri wako.
 
Hio pesa Katu usiingize kwenye biashara kabla ujaisafisha. Pesa yeyeto mfano ya dili, akiba, rushwa, mkopo isafishe kwanza ndipo usiingize kwenye biashara ukitaka usalama na kama huna uzoefu wa biashara.
Kuisafisha ni kuiingiza kwenye real asset, mfano fremu za kupangisha, nyumba za kupangisha, guest, hotel. Faida ya kodi uipatayo ndio unaingiza kwenye biashara utatoboa.
asante kwa ushauri wako.
 
Kama unanisikia unaelewa, achana kabisa na kitu kinaitwa biashara. Ndo maana inaitwa bi hasara.
Biashara ni nyepesi kwenye makaratasi.
Biashara ni spirit, biashara ni asili.
Fanya mawili Kati ya haya.
1.Nunua nyumba center hata wilaya iliyochangamka, ibadili iwe guest.
KISHA hio faida ndio ufanyie biashara tena kwa mtaji Mdogo mdogo Ili upate uzoefu.
2.Nunua nyumba kwa m30 pangisha milioni 10 timkia ulaya, kazugie kusoma huku unabeba boksi shule geresha ya kusakia maisha.
asante kwa ushauri wako.
 
Hongera kwa baraka uliyoipata
Cha kufanya wekeza kny real estate mf. Nyumba kama ulivyosema ukipata ambayo unaweza kukodishia watu hio ndio nzuri hutokaa ushiwe Hela ndogo ndogo.

Nilitaka uwekeze kny ardhi lkn kama hio ni long investment nayo inapanda bei lkn return yake ni ya mda mrefu.

Kamwe usiwekeze kny paper investment kwa maelezo zaidi come PM
asante kwa ushauri wako.
 
Nunua IST hapo ufanye bolt ama Uber utakuja kunishukuru Baadae. Inayobaki Anza ujenzi au kwenye kiwanja chako weka mabanda uanze ufugaji..
 
Usirudie tunalofanyaga wengi kujenga kabla ya biashara...fungua Duka au hata genge
 
Back
Top Bottom