Ushauri wenu kwenye hili ndugu zangu

Simple tu, chukua mil 20 nunua nyumba, chukua mil 1 oa mtumishi, mil 15 ingiza kwenye biashara. Uwezo wa kusave pesa unao nakushauri kafanye biashara ya wakala NMB, CRDB, MPESA nk.

Kumbuka kama umeweza kusave mil 40 hiyo biashara itakulipa sana na utaweza kuendesha familia
 
Sasa anapokuwa "Asifanye biashara" hiyo experience ya biashara ataipata wapi??

Na Kazi ya nini ikiwa ana mtaji wa kuingia mtaani?

Mbona sisi tuliokwenye ajira tunawaonea wivu walio na biashara?

#YNWA
Yeye bado ana nafasi ya kupata ajira na tena ndio cv yake imeanza kujengeka kwanini aache career yake wakati ndio imeanza kunawiri? Onaona anasema amefanya kazi miaka 2 tu na ameweka kibindoni 40M na ni kazi ya kujishikisha tu, je akipata kazi yenyewe kuweka 50M kila mwaka itakuwa kawaida kwake.
 
Mnaroho za uoga za kupenda ajira kuliko kujiajiri.
Tujiajiri kwa Sana bana ili kutengeneza ajira nyingi.

#YNWA
 
Sio woga ni uangalifu na priory setting. Hakuna anayependa kujiajiri kama mimi ila kuna wakati lazima uajiriwe halafu uachane na ajira.
Mnaroho za uoga za kupenda ajira kuliko kujiajiri.
Tujiajiri kwa Sana bana ili kutengeneza ajira nyingi.

#YNWA
oga
 
Ushauri wangu kwako jenga nyumba! Chukua m30, jenga nyumba weka wapangaji halafu m10, fanya biashara unayoona inafaa. Naamini ukijenga nyumba kwaajili ya buashara huwezi kosa laki tano kila mwezi kutokana na mapato ya hiyo nyumba
 
40m ni mtaji mkubwa sana. Nunua shamba uanzishe integrated farming. Fuga mbuzi kwa wingi na ng’ombe kidogo wa maziw au nyama. Kwenye hilo wekeza 20m tu, nyingine 20 tafuta biashara yenye kuleta return in short term ili uwe na mzunguko endelevu usije ukapagawa kwa ukata wakati unasubiri mifugo.
 
Attachments

  • IMG_2710.jpg
    2.3 MB · Views: 5
Kijana, miaka 31 no mke Wala watoto , umemaliza chuo miaka kadhaa imepita Sasa, afu miaka mitatu ya kazi😁 Sasa hapo tuelewaje tujumlishe na ile 31 au tutoe miaka mitatu kwenye 31
 
Kijana, miaka 31 no mke Wala watoto , umemaliza chuo miaka kadhaa imepita Sasa, afu miaka mitatu ya kazi😁 Sasa hapo tuelewaje tujumlishe na ile 31 au tutoe miaka mitatu kwenye 31

Unamtaka aoe ili achunwe hizo mil 40 fasta...

#YNWA
 
Jiunge na utt amis mfuko wa liquid fund ukiwa unasubiri cha kufanya kila mwezi faida hapo itakuwa 390000 hadi 400000
 
Nimepokea mawazo yako, nashukuru.
 
Nimepokea mawazo yako, nashukuru.
 
Ushauri wangu kwako jenga nyumba! Chukua m30, jenga nyumba weka wapangaji halafu m10, fanya biashara unayoona inafaa. Naamini ukijenga nyumba kwaajili ya buashara huwezi kosa laki tano kila mwezi kutokana na mapato ya hiyo nyumba
Nimepokea mawazo yako, nashukuru.
 
Nimepokea mawazo yako, nashukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…