Ushauri wenu Wakuu, Wahadhiri wanaoomba rushwa ya ngono wamemfikia mtoto wangu

We acha tu kama mzazi unatoka pesa Bado mtoto anatakiwa alale na mwalimu kufaulu
chuoni kuna mfumo wa kushugulikia malalamiko kama hayo (mfano wa dawati la jinsia), labda alalamike kuwa wameshindwa kumsaidia, otherwise chuoni kuna mengi, watoto wa kike pia huwawinda lectures kwa ajili ya mteremko wa masomo na tamaa za maisha, chuoni wasichana wanashindana sana kuhusu lifestyle, na wanakuwa na multiple partiners ndani na nje ya chuo ili ku-fund tamaa zao za maishaa
 
wasichana pia huwapenda lectures romantically, ila bahati mbaya anayemsalandia kama hampendi ndyo wanaleta hayo malalamiko, jua kuna wahadhiri wanao kubaliwa na pia wanalengeshwa romantically
 
wasichana pia huwapenda lectures romantically, ila bahati mbaya anayemsalandia kama hampendi ndyo wanaleta hayo malalamiko, jua kuna wahadhiri wanao kubaliwa na pia wanalengeshwa romantically

huyo binti hayuko romatically atracted kwa huyo mhadhiri, ndyo maana amelalamika, possibly angekuwa anampenda isingekuwa reported as sexual harrasment, ndyo ilivyo kwenye "adult learning institutions"
 
Sina huo ushahidi zaidi ya stori za huyo mwalimu kufahamika na wanafunzi wa chuo hicho, option iliyopo ni kukata rufaa lakini vyuo vyetu mwalimu wa department hiyo hiyo atasahihisha na atambeba mwalimu mwenzake kama kawaida yao
"lakini vyuo vyetu mwalimu wa department hiyo hiyo atasahihisha na atambeba mwalimu mwenzake kama kawaida yao". Uko sahihi watateteana
 
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…