Kwani mwalimu hana haki ya kutongoza?Kwa kuwa ni gen z ni haki kuombwa ngono na mwalimu wake!?
Aandike barua aombe rufaa asahihishiwe mtihani na mwl mwingine ila kama ana uhakika atafaulu na aweze kulipia hizo gharama!Sina huo ushahidi zaidi ya stori za huyo mwalimu kufahamika na wanafunzi wa chuo hicho, option iliyopo ni kukata rufaa lakini vyuo vyetu mwalimu wa department hiyo hiyo atasahihisha na atambeba mwalimu mwenzake kama kawaida yao
👍Sio yudom ni chuo Cha mambo ya teknolojia hapo daslam japo haya mambo yapo vyuo vyote tz
Uwe mwangalifu sana na stori za vijiweni, na habari za huyo mwanao.Huyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua,
Bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawafundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi, na inasadikika ameungua wakuu msaada wenu
Mitego mingi ya kumtia nyavuni, huyo muhuniHuyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua,
Bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawafundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi, na inasadikika ameungua wakuu msaada wenu
Ushauri gani kaka?secretarybird acha kutoa ushauri wa ******
Dingi yupo serious anaomba ushauri wewe unaomba namba ya binti yakeUshauri gani kaka?
Sijaomba kwa ubaya. Lengo langu lilikuwa murua tu mbona.Dingi yupo serious anaomba ushauri wewe unaomba namba ya binti yake
Basi hicho ni chuo kibovu kama haya usemayo ni kweli.Ni kweli unachokisema lakini sio mtoto wangu wa kwanza kulalamika ni wanafunzi wa kike wa huyo mwalimu wengi wamepitia hayo masaibu na anajinasibu kuwa anatafta wake akiwa darasani
Ni taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru. Kuna assistant lecturer anawaamuru wanafunzi wa kike wamnyonye mboro OfisiniBasi hicho ni chuo kibovu kama haya usemayo ni kweli.
Chuo kisicho linda hadi ya taaluma yake; hiyo ni takataka.
Hivi ni vyuo wanavyosoma akina Samia..
Kwa hiyo tutarajie binti yetu akimaliza chuo awe kama Samia, siyo?Basi hicho ni chuo kibovu kama haya usemayo ni kweli.
Chuo kisicho linda hadi ya taaluma yake; hiyo ni takataka.
Hivi ni vyuo wanavyosoma akina Samia..
Kutokana na maelezo aliyotoa mzazi, sitashangaa sana kwa hayo unayosema wewe.Kwa hiyo tutarajie binti yetu akimaliza chuo awe kama Samia, siyo?
Kazi ipo.Kutokana na maelezo aliyotoa mzazi, sitashangaa sana kwa hayo unayosema wewe.
Visungura vimehusikaje hapoWanawake walivyo wa ajabu anagoma kuachia mambo kwa mwalimu wake wakati huo huo yupo na mahusiano na mume wa mtu na wanywa visungura.
Kama kuna ushahidi wa jumbe za simu weka mtego wahusishe na pccb
Stories za aina hii nazo ni za kuzisikiliza with an open mind. Sijawahi kusikia story kama hii kutoka kwa msichana mwenye uwezo mkubwa darasani.Huyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua,
Bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawafundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi, na inasadikika ameungua wakuu msaada wenu
Muache ujuaji kwa kila jambo, hivi mnadhani Chuo mmeenda pekee?, hakuna asiyejua haya mambo yapo vyuo vyote hapa nchini, mpaka hivyo top 5 vina huu upuuzi.Uwe mwangalifu sana na stori za vijiweni, na habari za huyo mwanao.
Hakuna 'chuo' chenye hadhi kinachoweza kutoa 'supp' bila ya maelezo ya msingi.
Ushahidi hauwezi kujificha; kama ni 'supp' ni supp' hata uende wapi!
Mwanao atakuwa na udhaifu kwenye uwezo wake wa kumudu anachotakiwa kujuwa.
Kama inakuwa kila mara ni yeye; hilo haliwezekani' labda hivyo vyuo vya jalalani.