EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Ww ndiwe hauna akili unaandika pumbaMbona wewe ndiye huna akili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww ndiwe hauna akili unaandika pumbaMbona wewe ndiye huna akili?
Tatizo nani wakununua[emoji23][emoji23]Mkuu yaendelee kupaki? Bora tuuze tu na pesa ijenge shule.
Bora Dreamliner tulilonunua kwa bilioni 520 za kitanzania liuzwe na pesa itakayopatikana itumike kujenge madarasa na shule
Kwani walioimba mapambio kwa sauti kuu kusifu hatua hiyo ya kijasiri wakati ule ,ina maana walituingiza chaka au ilikuwaje.Nchi yetu ina upungufu mkubwa sana wa vyumba vya madarasa na shule. Maana wanafunzi wengi huwa wanakosa masomo sababu ya kukosa madarasa ya kusomea au shule kuwa mbali na maeneo wanayoishi.
Kuliko serikali kukopa pesa World Bank na kuzitumia kujenga madarasa na shule. Bora Dreamliner tulilonunua kwa bilioni 520 za kitanzania liuzwe na pesa itakayopatikana itumike kujenge madarasa na shule.
Tatizo Kila moja kapaki ndege zake... Sasa hapo usitegemee mnunuaji maana Kila kampeni wanafikiria namna ya kuzipunguza. Ushauri mzuri ungekuwa badala ya kukunua tena 5 mpya akanunue zile zilizowadodea wenzetu.Nchi yetu ina upungufu mkubwa sana wa vyumba vya madarasa na shule. Maana wanafunzi wengi huwa wanakosa masomo sababu ya kukosa madarasa ya kusomea au shule kuwa mbali na maeneo wanayoishi.
Kuliko serikali kukopa pesa World Bank na kuzitumia kujenga madarasa na shule. Bora Dreamliner tulilonunua kwa bilioni 520 za kitanzania liuzwe na pesa itakayopatikana itumike kujenge madarasa na shule.
Mimi naona tungegawana tu hizo hela baada ya kuuza hilo dreamliner lao!! 😇 Au mnaonaje ndugu zangu!!!
Maana mtaani kwenyewe huku hata hakusomeki!!
Kwani shida iko wapi mzee? Yani unaamini kabisa kama ungeweza kupata kibali chakurusha ndege toka Tanzania kwenda China au Westen Country yoyote bila kuwa na ndege kwanza?Yaani maamuzi ya ununuzi wa Dreamliner yalikuwa ya kukurupuka..ndege limepaki hasara juu ya hasara!!
Afu ukisemwa unalalamik kwamba ni vita ya kiuchumi vya mabeberu na mawakala wao.
Nchi yetu ina upungufu mkubwa sana wa vyumba vya madarasa na shule. Maana wanafunzi wengi huwa wanakosa masomo sababu ya kukosa madarasa ya kusomea au shule kuwa mbali na maeneo wanayoishi.