Ushauri wenye mantiki na staha: Dreamliner iuzwe, pesa itakayopatikana itumike kujenga shule na madarasa yanayohitajika

Ushauri wenye mantiki na staha: Dreamliner iuzwe, pesa itakayopatikana itumike kujenga shule na madarasa yanayohitajika

Niliwahi leta andiko waunganishe primary na olevel, 70% waende veta ( secondary olevel za sasa), 30 Alevel 20% nyuo kada kati Diploma, certificate na 10% vyuo vikuu.
 
Bora Dreamliner tulilonunua kwa bilioni 520 za kitanzania liuzwe na pesa itakayopatikana itumike kujenge madarasa na shule

Hata ukisema unauza hiyo ndege nani atanunua kwa bei hiyo wakati makampuni ya ndege duniani yanadorola!!! Maadam tuliyavulia nguo maji ya kununua DREAMLINER sharti tuyakoge hata kama ndege yenyewe inasimama tu pale uwanja wa ndege bila kusafiri!
 
Nchi yetu ina upungufu mkubwa sana wa vyumba vya madarasa na shule. Maana wanafunzi wengi huwa wanakosa masomo sababu ya kukosa madarasa ya kusomea au shule kuwa mbali na maeneo wanayoishi.

Kuliko serikali kukopa pesa World Bank na kuzitumia kujenga madarasa na shule. Bora Dreamliner tulilonunua kwa bilioni 520 za kitanzania liuzwe na pesa itakayopatikana itumike kujenge madarasa na shule.
Kwani walioimba mapambio kwa sauti kuu kusifu hatua hiyo ya kijasiri wakati ule ,ina maana walituingiza chaka au ilikuwaje.
 
Nchi yetu ina upungufu mkubwa sana wa vyumba vya madarasa na shule. Maana wanafunzi wengi huwa wanakosa masomo sababu ya kukosa madarasa ya kusomea au shule kuwa mbali na maeneo wanayoishi.

Kuliko serikali kukopa pesa World Bank na kuzitumia kujenga madarasa na shule. Bora Dreamliner tulilonunua kwa bilioni 520 za kitanzania liuzwe na pesa itakayopatikana itumike kujenge madarasa na shule.
Tatizo Kila moja kapaki ndege zake... Sasa hapo usitegemee mnunuaji maana Kila kampeni wanafikiria namna ya kuzipunguza. Ushauri mzuri ungekuwa badala ya kukunua tena 5 mpya akanunue zile zilizowadodea wenzetu.
 
Mimi naona tungegawana tu hizo hela baada ya kuuza hilo dreamliner lao!! 😇 Au mnaonaje ndugu zangu!!!

Maana mtaani kwenyewe huku hata hakusomeki!!

Kwa mbaali naona wale ambao wakiishiwa wako radhi kuuza masufulia ili wakapate moja mbili tatu huko kilabuni
 
Yaani maamuzi ya ununuzi wa Dreamliner yalikuwa ya kukurupuka..ndege limepaki hasara juu ya hasara!!

Afu ukisemwa unalalamik kwamba ni vita ya kiuchumi vya mabeberu na mawakala wao.
Kwani shida iko wapi mzee? Yani unaamini kabisa kama ungeweza kupata kibali chakurusha ndege toka Tanzania kwenda China au Westen Country yoyote bila kuwa na ndege kwanza?

Embu nenda kaombe TLB ya Tabata Mnazi mmoja huku ukiahidi gari kuileta mwezi ujao alafu uone kama utapata...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi yetu ina upungufu mkubwa sana wa vyumba vya madarasa na shule. Maana wanafunzi wengi huwa wanakosa masomo sababu ya kukosa madarasa ya kusomea au shule kuwa mbali na maeneo wanayoishi.

Kuliko serikali kukopa pesa World Bank na kuzitumia kujenga madarasa na shule. Bora Dreamliner tulilonunua kwa bilioni 520 za kitanzania liuzwe na pesa itakayopatikana itumike kujenge madarasa na shule.
WhatsApp-Image-2021-03-06-at-11.48.48.jpeg

Umeona hii au huna taarifa
 
Atcl wametangaza kuanza kwa safari za kwend Guangzhou China hivi karibuni, hizo safari zitafanyika kwa kutumia nini, ungo au fisi?
Changanya na zako bwashee
 
Back
Top Bottom