Ushauri: Wilaya za Kibaha na Bagamoyo zihamishiwe Dar es Salaam, Mbagala na Kigamboni zipelekwe mkoa wa Pwani

Hapo sawa mkuu tumeelewana
 
Kilwahaipo mkoa wa pwani.
 
Kwani mbagala ni wilaya?
 
Kikubwa ni Serikali kuhakikisha wilaya zinazounguka mkoa wa DSM zinakuwa na huduma zote muhimu hakuna watu wataokimbilia Dar kama sasa
 
Kikubwa ni Serikali kuhakikisha wilaya zinazounguka mkoa wa DSM zinakuwa na huduma zote muhimu hakuna watu wataokimbilia Dar kama sasa
we ulipotoka mkoani kulikua hakuna maji,umeme au huduma???

Kinachowaleta wafu dar si huduma za serikali bali ni fursa za ajira,biashara na mambo ya kipato!! Hakuna kitu kinachohamisha watu kama hiki
 
Nashauri bagamoyo na kibahana kisarawe ziletwe dar

Kigamboni na mbagala zibaki dar

Mkoa wa wa pwani ubaki na rufiji, kibiti, mafia na wamege part of lindi
 
Kumbe shida ni barabara, ijengwe ring road ya kuunganisha Bagamoyo-kibaha-kisarawe-mkuranga bila kupita jijini Dar
 
Kibaha, bagamoyo namkuranga zipewe hadhi ya manispaa, ila zibakie mkoa wa pwani na kuwe na ring road ya kuunganisha manispaa hizo bila ya kupita katikati ya Dar
 
Zambia ina idadi ya watu nusu ya Tanzania
 
Dar ibaki kuwa wilaya yenye hadhi ya jiji
Na wilaya za Dar?? Ambazo kila moja in a idadi ya watu kuliko wilaya karibu zote tz unazungumziaje, Ilala tu na Kinondoni kila moja ina watu zaidi ya milioni mbili sasa
 
Ishu ni kuwa mkuranga sio manispaa, wakazi wa mkuranga hawana baraza la peke yao kujadili maendeleo ya mkuranga wao wanakaa pamoja na vijiji vya pwani wilayani kwao, kinachotakiwa ni mkuranga, kibaha na kisarawe na Bagamoyo kupewa hadhi ya manispaa kila moja, halafu kuwe na ring road ya kuunganisha manispaa hizo nne za pwani
 
Huo u ded na udc kumbuka ni ajira za watu pia
With all my respect kwako, kujibia hii hoja kwa kiwango hiki iam afraid kuwa safari ya generation yako ni ndefu sana,serikali sio wajibu wake to creat employment, wajibu wake ni kufungua fursa ili watu wajiajiri na private sector itengeneze ajira
 
Zambia ina idadi ya watu nusu ya Tanzania
Why mnazaana kama simbilisi?,why uzae mitoto mingi wakati huna uwezo wa kuwatunza?,middle class wa Botswana wapo very educated, they're making a lot of sex ILA hawazai!,itawachukua miaka 30 kufikia idadi ya wakazi wa Dar pekee!,Tswanas &others wapo less than 3M,nchi ya kufikirika wanakimbilia 70M, umasikini mtupu
 
the stoe w
the stone whichhhhh,the stone which the builder built the house,,,,,,rEJECTEDDDDDDD,REJECTED,REJECTED REJECTED
 
Mimi ningekua na uwezo ningehamisha mkoa mzima wa pwani na morogoro na kuuleta Dar ili kutengeneza mkoa mmoja, service delivery ingekua ndio msingi sio utitiri wa hii kitu,nchi nzima mikoa 12 tu.
Mungu wangu.......


Morogoro hii hii ambayo ukiigawa zinatoka dar es salaam Tano au saba????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…