Inategemea na idara ila kama ni idara ya elimu hakuna kitu,,wengi huku chini wanapata madaraka wakiwa na uwezo mdogo ,,mfumo upo very corrupt mpaka chupi zinawapa watu madaraka,,,
Kama mtu unajitambua lazima tu utaingia mgogoro na watawala kisa tu wanapenda kutumia nguvu nyingi kuliko maarifa,,
Kuna mwaka nilikuwa naomba uhamisho niliingia mgogoro na
,afisa elimu,,afisa utumishi mpaka mkurugenzi,,lakini kwa vile nilikuwa najiamini nilienda nao mpaka nikahama,,
Yaani watu wananyanyasika mno kutokana na viongozi wasiokuwa na weledi.
N.B watumishi tujitahidi kujisomea sheria za utumishi,,standing order na kanuni mbalimbali zinaweza zikatusaidia,,mimi kilichonisaidia ni ufahmu mdogo wa vikanuni ikawa kila nikienda kufuatilia barua narefer kwenye vikanuni ,,,walinijengea uhasama ila mwisho wa siku nikaondoka.
Sent from my TECNO KE5 using
JamiiForums mobile app