Mpaka mwanao amekaa Kama kwale😀 kwasabu ya akili zako za kinyumbuUngejua maana ya hilo jina ungepiga salute.[emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Wewe unamatatzoNaona umevurugwa hadi kila mmoja unamwona adui.[emoji23]
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Nisamee kama nimekugusa. Nimekosa Mimi... Nimekosa mimi... Nimekosa sanaHayakuhusu after all hatufahamiani acha kulabudisha Mambo, au ww Ni mganga wa kienyeji?
Asante sana taahira wa nchi.Mpaka mwanao amekaa Kama kwale[emoji3] kwasabu ya akili zako za kinyumbu
Unamaanisha nn unaposema mwalimu ana masters/PhD Ila mabosi zake wana shahada?Kwa miaka ya sasa ni rahisi sana kuona mwalimu ana Masters/PhD lakini yupo tu anafundisha huko shuleni, ila mabosi wake wote wana Shahada.
Huko uliko unaishijeUngejua maana ya hilo jina ungepiga salute.[emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Shahada maana yake mauaUnamaanisha nn unaposema mwalimu ana masters/PhD Ila mabosi zake wana shahada?
Kwani hizo masters/PhD siyo shahada? Au hujui maana ya shahada?
Sasa kama kitu kidogo tu kama hiki hujui, unajua nn Sasa? Wewe una makaratasi tu yanayokutambulisha kuwa una masters/PhD lkn kichwani wewe ni chekechea.
Tuishie hapo, umefilisika hoja.Mwanao naye amekaa utafkr chopa ya chadema anataka kuruka Kama baba yake
Ni maoni yake,jifunze kuheshimu maoni ya mtu. Hebu mkosoe Kwa hoja leta maoni yako bila matusiNgumi ya gizani imefanya kazi. Pole msomi.
Umeandika mwenyewe, mimi ningejuaje kama ni wewe?
Halafu una tabia za kike, seems to be a woman.
Umejaa umbea kisa umekosa madaraka.
Kwa taarifa yako huyo mwenye elimu ndogo amefanyiwa vetting na kuonekana anafaa kuliko wewe mwenye masters ya umbea.
Unathubutuje kuyasema viongozi wenye elimu ndogo hufanya figisi kwa wenye elimu kubwa?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Asante kiongozi.Ni maoni yake,jifunze kuheshimu maoni ya mtu. Hebu mkosoe Kwa hoja leta maoni yako bila matusi
Inategemea na idara ila kama ni idara ya elimu hakuna kitu,,wengi huku chini wanapata madaraka wakiwa na uwezo mdogo ,,mfumo upo very corrupt mpaka chupi zinawapa watu madaraka,,,Ngumi ya gizani imefanya kazi. Pole msomi.
Umeandika mwenyewe, mimi ningejuaje kama ni wewe?
Halafu una tabia za kike, seems to be a woman.
Umejaa umbea kisa umekosa madaraka.
Kwa taarifa yako huyo mwenye elimu ndogo amefanyiwa vetting na kuonekana anafaa kuliko wewe mwenye masters ya umbea.
Unathubutuje kuyasema viongozi wenye elimu ndogo hufanya figisi kwa wenye elimu kubwa?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Ukitaka uishe kwa stress basi kasome utegemee utapata madaraka,,ni bora hiyo hela uifanyie uwekezaji mwingine,,Mshikaji alienda kusoma apewe madaraka. Imekula kwake ameamua kulalamika.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Hongera Sana kwa kufightInategemea na idara ila kama ni idara ya elimu hakuna kitu,,wengi huku chini wanapata madaraka wakiwa na uwezo mdogo ,,mfumo upo very corrupt mpaka chupi zinawapa watu madaraka,,,
Kama mtu unajitambua lazima tu utaingia mgogoro na watawala kisa tu wanapenda kutumia nguvu nyingi kuliko maarifa,,
Kuna mwaka nilikuwa naomba uhamisho niliingia mgogoro na
,afisa elimu,,afisa utumishi mpaka mkurugenzi,,lakini kwa vile nilikuwa najiamini nilienda nao mpaka nikahama,,
Yaani watu wananyanyasika mno kutokana na viongozi wasiokuwa na weledi.
N.B watumishi tujitahidi kujisomea sheria za utumishi,,standing order na kanuni mbalimbali zinaweza zikatusaidia,,mimi kilichonisaidia ni ufahmu mdogo wa vikanuni ikawa kila nikienda kufuatilia barua narefer kwenye vikanuni ,,,walinijengea uhasama ila mwisho wa siku nikaondoka.
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Huyu hana hoja. Kusoma sana sio kigezo cha kupata Cheo. Cheo kinazingatia weledi na umahiri wa kazi husika. Unaweza ukawa bookish lakini uwezo wa kuongoza watu au taasisi ukawa zero!Una hoja