Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

huu ujinga wa kwenda kusoma ukiwa unapigia mahesabu vyeo ni ujinga. hiyo hela ya kusoma masters au PhD ungefuga mbuzi tuu mwalimu ungekuwa mbali sana. acha umbulula.
Vipi ww yanakuhusu nini, au una vielement vya umalaya Malaya kila ukiona nyuzi unakimbilia upo sawa kweli we pomole
 
Huyu hana hoja. Kusoma sana sio kigezo cha kupata Cheo. Cheo kinazingatia weledi na umahiri wa kazi husika. Unaweza ukawa bookish lakini uwezo wa kuongoza watu au taasisi ukawa zero!
We mtoto huko shule unafanya nn au unakunywa uji tu unarudi pumbavu we!
 
Au syo🤣
 
Sasa hayo yanatuhusu nini...unawaza mapenzi tu acha ujinga
 
Vipi ww yanakuhusu nini, au una vielement vya umalaya Malaya kila ukiona nyuzi unakimbilia upo sawa kweli we pomole
labda kama huna akili. kwenye utumishi wa umma kuna ngazi/vidato huwezi kutoka zako huko na PhD ya maandazi kutoka darasani mpka kuwa afisa elimu. acha ujinga.

anza kuwa mwalimu wa darasa perform vizuri watu wakuone kwa utendaji kazi mzuri unaoendana na elimu yako hiyo, utapewa shule kuwa mkuu (kilicho bora hakijifichi)

baadaye afisa elimu kata, baadaye sasa unaweza kuwa afsa elimu taaluma

baadaye afisa elimu na kuendelea......huko juu

sasa wwe kenge umetoka zako chuo leo umebebelea hicho ki-PhD chako maandazi unatamba nacho mtaani.

vitu haviendi hivyo wewe mpuuzi.
 
Mawazo yako ni mazuri! Lakini fahamu kwa nchi yetu kusoma sana hakuna faida yo yote!
Sana sana unaweza kuishia kuwa frustrated!
 
Wewe kmmmk uyo jamaa mbona kaandika point?
Walimu imekuwa kichaka cha watu wenye uwezo mdogo kichwani kutokana watu uko hawataki kusoma mmekuwa na majungu na ujinga kama unaoandika hapa. Vettting gani inafanyika wewe ni memo tu zinaenda tamisemi kmmmk wewe sekta inazalisha mamburula sababu viongozi shule ndogo wenye shule kubwa wananyimwa wasitoboe...afsa elimu ana digrii atapatisha barua ya mwalimu mwenye phd anaetaka akachukue shavu necta au tie? Ualimu ni kama uchawi reference wewe mmojawapo
 
Hii comment iingizwe kwenye mtaala mpya wa elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi ndio maana industry ya elimu imejaa watu vilaza. Kama kuwa na maarifa makubwa sio kipaumbele hii sekta itaendelea kujaza wajinga kila leo
 
Nyie wenye masters/PhD komaeni na utafiti na consultancy, hapo ndio umuhimu wa elimu zenu utaonekana.

Uongozi hauna uhusiano na elimu kubwa, hata darasa la 4 anaejua kusoma na kuandika anaweza kuongoza vizuri kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu nchi haipaswi kuendeshwa kwa wingi wa vyeti inatakiwa iendeshwe kwa ueledi na uchapaka kazi, wengi wanaenda kusoma iliwapande vyeo na siyo ufanisi kazini, kusoma ni jambo jema sn lakini kwa Tanzania ni ajili ya vyeti pekee, Ulaya kuna Professor anafundisha primary school na maslahi yake ni makubwa kuliko Waziri, maybe ungeshauri walimu waboreshewe maslahi yao.
 
Well said, Biden ana bachelor lakini anaendesha Marekani yenye maprofessor zaidi ya milioni 5
 
Upo sahihi kabisa, basi ingekuwa kigezo pekee cha uongozi basi Rais wa nchi lazima angekuwa Professor, ufanisi, uadilifu, uchapa kazi na hekima na busara ndiyo nguzo za uongozi ulio bora na siyo haya makaratasi
 
Tuanze kwanza kuwachukulia hatua wale tunaodhani wanaelimu lakini wanaahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kutumikia kundi fulani ama kujipendekeza pengine hata uoga. Herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or group objectives, (conflict of interest ) or fear
 
Wazo zuri ila Uongozi siyo tu elimu kubwa Mkuu!...kuna attributes nyingi sana za Uongozi.
............................................

Mfano mtu anaweza kuwa na PhD (Yes) ila hana vision, hawezi ku-influence changes, yupo so rigid....hana social skills, hajui laws of power.
.............................................
Narudia wazo lako ni zuri ila linapaswa kuangaliwa katika mawanda mapana zaidi
 
Pole Sana aisee
 
Upo sahihi kabisa, basi ingekuwa kigezo pekee cha uongozi basi Rais wa nchi lazima angekuwa Professor, ufanisi, uadilifu, uchapa kazi na hekima na busara ndiyo nguzo za uongozi ulio bora na siyo haya makaratasi
Mkuu hivi unajua u Prof. unapatikanaje? Pitia kitabu Cha TCU uelewa zaidi,
Shida kwelikweli ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…