Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

Ngumi ya gizani imefanya kazi. Pole msomi.

Umeandika mwenyewe, mimi ningejuaje kama ni wewe?

Halafu una tabia za kike, seems to be a woman.

Umejaa umbea kisa umekosa madaraka.

Kwa taarifa yako huyo mwenye elimu ndogo amefanyiwa vetting na kuonekana anafaa kuliko wewe mwenye masters ya umbea.

Unathubutuje kuyasema viongozi wenye elimu ndogo hufanya figisi kwa wenye elimu kubwa?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Mbona ww na mleta mada wote nawaona wanawake tena singo maza
 
Sawa ww umelawitiwa hongera
Umeamkaje lakini au umefurumshwa huna kazi za kufanya...nenda kanawe uso syo unakuja kwenye post za watu kipimbipimbi...au umebakwa nn🤣
 
Umeamkaje lakini au umefurumshwa huna kazi za kufanya...nenda kanawe uso syo unakuja kwenye post za watu kipimbipimbi...au umebakwa nn🤣
Nikuulize ww ulienajisiwa unalialia asubuhi cha usiku kilipakwa pilipili au
 
Nikuulize ww ulienajisiwa unalialia asubuhi cha usiku kilipakwa pilipili au
Ila we jamaa bwana ndo maana huna akili Sasa Cha usku ndo nini ndugu, unalala unawaza ngono tu unaamka umewewuka Kama kuku
 
We mtoto huko shule unafanya nn au unakunywa uji tu unarudi pumbavu we!
Dogo kama ulisoma sana Ili uoate Cheo na kichwani hamna kitu, basi utaishia kuwa na stress. Chunga usijinyonge! Ngoja niwahi uji wa Shule. Mtamu huo!
 
Kuna haja kubwa kabisa ya kuangalia hilo jambo kwa namna ya kipekee kabisa.
 
Tatizo sio elimu Bali mkipata hivyo vimasters mnaanza kujitutumua na kujifanya wajuvi,
 
Back
Top Bottom