Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

Kwahvo kufanya presentation kwa wazungu ni kigezo Cha kuwa na akili, kazi ipo
Mfano mkaitwa kwenye mdahalo wa wazi na washiriki wakatoka maeneo haya, mada ikiwa; 'kwa nini waafrika wanashindwa kuchimba mafuta wao wenyewe, huku mkijiita mna wasomi wengi wa vyeti' :-
  • China 1
  • Urusi 1
  • Japan 1
  • USA 1
  • UK 1
  • Tanzania 1 (Wewe)
  • Kenya 1
Utatoa pointi zipi?
 
Kwa uzi huu halafu upewe uongozi wa shule, hapana. Pamoja na masters yako, bado una safari ndefu ya kufanya speech.

Endelea kujifunza utafanikiwa.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Mfano, anaweza akawa amepata mchongo mahali pengine kutokana na sifa alizonazo akaandika barua, lakini still maboss wake wakagoma kumpitishia barua zake kwa madai Walimu hawatoshi[emoji3] na mengine mengi-ROHO MBAYA NA CHUKI ZA NINI??hapo mwenzio kakosea Nini??
 
Soma Kwa ajili Yako sio Kwa ajili ya nchi yako
 
Mfano mkaitwa kwenye mdahalo wa wazi na washiriki wakatoka maeneo haya, mada ikiwa; 'kwa nini waafrika wanashindwa kuchimba mafuta wao wenyewe, huku mkijiita mna wasomi wengi wa vyeti' :-
  • China 1
  • Urusi 1
  • Japan 1
  • USA 1
  • UK 1
  • Tanzania 1 (Wewe)
  • Kenya 1
Utatoa pointi zipi?
Nitawambia tu ww ni mpumbavu
 
Kwa miaka ya sasa ni rahisi sana kuona mwalimu ana Masters/PhD lakini yupo tu anafundisha huko shuleni, ila mabosi wake wote wana Shahada. Huyu mwalimu mwenye Masters/PhD anaambulia kuhujumiwa tu na mabosi hao ili kumkatisha tamaa.

Mfano, anaweza akawa amepata mchongo mahali pengine kutokana na sifa alizonazo akaandika barua, lakini still maboss wake wakagoma kumpitishia barua zake kwa madai Walimu hawatoshi😀 na mengine mengi.

Hivyo basi, tunaomba wizara husika itoe mwongozo ambao utapunguza hujuma za kupata vyeo na nafasi mbalimbali za hawa walimu wenye Masters/PhD.

Hata ikiwezekana wafanyiwe interview kupata hizo nafasi za uongozi ili hujuma zipungue/ziishe kabisa.
Unacho takiwa kujua uongozi na elimu ni vitu viwili tofauti
 
Tatizo lako tukiyaondoa hayo ma theories uliyo kalilishwa unabaki huna kitu kichwani.
 
Kwani ww unanijua au unaropoka tu kiazi we! Eti nipewe uongoz wa shule mburula we!
Kwa nchi yetu hii ilipofika soma na uwe na channel kama unasoma tu alafu connection huna basi ujue utamaliza masters na Phd na utarudi kufundisha kama kawaida,kumbuka ofisi zetu zimejaa wivu sana na ukabila sana.
 
Basi ndio maana industry ya elimu imejaa watu vilaza. Kama kuwa na maarifa makubwa sio kipaumbele hii sekta itaendelea kujaza wajinga kila leo
kati ya sekta inayochukua cream, watu waliofaulu ni Elimu, kwingine huko kuna mbulula wamejaaa hadi division 5. hujui hilo??? unaishi wapi???
 
kati ya sekta inayochukua cream, watu waliofaulu ni Elimu, kwingine huko kuna mbulula wamejaaa hadi division 5. hujui hilo??? unaishi wapi???
Bora umemwambia wengi wakisikia mwl wanadhani ni fail.
Elimu ndiyo sekta yenye tabaka la wasomi kuliko sekta zote nchini
 
"Chuki dhidi ya wasomi hasa MA, Phd holders zinaanzia mtaani. Watu wanachukia sana wasomi. Ukija huku kwenye Halmashauri zetu hizi zenye BA, Diploma na Certificate holders ndiyo balaaaa.

Chuki kila kona. Mtumishi kupewa haki zake mpaka agombane na Mkuu wa Idara husika.

Nashukuru sana mleta mada kwa jicho lako lenye maono ya baadaye lakini pia serikali imeiweka pembeni MA kwenye Recategorization.
 
Endelea na stress zako. Ukitaka Uongozi jitahidi kuwa mweledi na mahiri kazini. Ova!
Umahiri upi mkuu? Unajua hawa Maboss wakishagundua tu una MA au Phd wanaanza chuki na vita. Sasa usiporespond unaweza ukapotea mazima katika utumishi au kuwa zezeta.
 
Back
Top Bottom