Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
Mechi za kirafiki za kimataifa kwa timu ya Yanga ni muhimu kama ilivyo chumvi katika pilau. mechi hizo zitampatia kocha kujua mapungufu ya ufundi na vile vile mashabiki kujenga imani na timu katika mechi za mtoano ambazo haziko mbali na pwani ya bahari.
Naomba sana yanga ialike timu zifuatazo kabla ya kuingia mtoanoni. ASANTE KOTOKO, WAYAD CASABLANCA, ESPARENCE NA PETRO DE LUANDA. Amini amini nawaambieni mashabiki wenzangu hapo tutajenga kujiamini kuwa timu yetu imeumbika namna gani kiufundi, stamina na ball possesion.
Je, timu ina uwezo namna gani kutoa sare ugenini na kufanya mauaji pale Lupaso? au kufanya mauaji lupaso na kulinda ushindi ugenini. haya ni maswali muhimu sana mshabiki uwe nayo kuhusu uwezo wa timu yetu ya YASC,