USHAURI: Yanga andaa mechi nne za kirafiki na timu za nje

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Posts
2,180
Reaction score
1,291
Mechi za kirafiki za kimataifa kwa timu ya Yanga ni muhimu kama ilivyo chumvi katika pilau. mechi hizo zitampatia kocha kujua mapungufu ya ufundi na vile vile mashabiki kujenga imani na timu katika mechi za mtoano ambazo haziko mbali na pwani ya bahari.

Naomba sana yanga ialike timu zifuatazo kabla ya kuingia mtoanoni. ASANTE KOTOKO, WAYAD CASABLANCA, ESPARENCE NA PETRO DE LUANDA. Amini amini nawaambieni mashabiki wenzangu hapo tutajenga kujiamini kuwa timu yetu imeumbika namna gani kiufundi, stamina na ball possesion.

Je, timu ina uwezo namna gani kutoa sare ugenini na kufanya mauaji pale Lupaso? au kufanya mauaji lupaso na kulinda ushindi ugenini. haya ni maswali muhimu sana mshabiki uwe nayo kuhusu uwezo wa timu yetu ya YASC,
 
Bado inauma sana jinsi timu ya Nigeria ilivyotutoa mwaka jana.
 
Simba huwa hawashindi kwa Mkapa kwa sababu ya uwezo wa uwanjani, kama kuna kitu cha kujifunza kwa Simba ni hilo, na hiyo haijaanza leo ni miaka mingi sana.

Tuna la kujifunza hapo kwanza, mashindano haya kila mtu anashinda kwake.
 
Napendekeza tucheze mechi 2 za kirafiki moja na weusi wenzetu horoya mechi kubwaa ya kirafiki na ya pili pamoja na kina carrinhos petro luanda ya angola.

Hawa watatupa picha ya caf champions league mapema
 
Simba huwa hawashindi kwa Mkapa kwa sababu ya uwezo wa uwanjani, kama kuna kitu cha kujifunza kwa Simba ni hilo, na hiyo haijaanza leo ni miaka mingi sana.

Tuna la kujifunza hapo kwanza, mashindano haya kila mtu anashinda kwake.
Basi nyinyi mshinde kwa uwezo wenu tuone.
 
Simba huwa hawashindi kwa Mkapa kwa sababu ya uwezo wa uwanjani, kama kuna kitu cha kujifunza kwa Simba ni hilo, na hiyo haijaanza leo ni miaka mingi sana...
Mnajidanganya sana. Kila timu inashinda kwake ila ni zile zenye uwezo. Kama mnaamini Simba huwa inashinda kwa Mkapa sio kwa sababu ya uwezo basi itakula kwenu.

Kama ingekuwa ni rahisi tu ukiwa nyumbani unashinda magoli mengi basi akina Al ahly , TP Mazembe, Mamelod na timu zingine bora tusingekuwa tunaziona zinaingia group stage mara kwa mara.
 
Mnajidanganya sana. Kila timu inashinda kwake ila ni zile zenye uwezo. Kama mnaamini Simba huwa inashinda kwa Mkapa sio kwa sababu ya uwezo basi itakula kwenu...
Hizo timu ulizozitaja zina quality ya kushinda away na kwao lazima ukae.

Hawajawahi kuwasha moto kwenye viwanja vya ugenini.
 
Timu zote kubwa barani Afrika au Ulaya uwa azikulupuki, ratiba zao zinapangwa msimu mzima wa mashindano hakuna kuchomekea mechi za kirafiki katikati ya ratiba na wachezaji wao Wanafahamu ilo.

Uwezi kupata timu yoyote kubwa bila kuwataarifu mapema sanasana watakuletea timu ya vijana wakichomeka na majeruhi wao walio pona Ili wapate mech fitness.

Yanga wasajili wachezaji wa maana na pre seson ya nguvu wanaenda kutoboa.
 
mechi za kirafiki za kimataifa kwa timu ya Yanga ni muhimu kama ilivyo chumvi katika pilau. mechi hizo zitampatia kocha kujua mapungufu ya ufundi na vile vile mashabiki kujenga imani na timu katika mechi za mtoano ambazo haziko mbali na pwani ya bahari...
Labda Asante Kotoko ila waliobaki hawawezi poteza muda na timu ina point 0.5
 
Walienda mpaka UTURUKI na MOROCO wakaishia kugongwa nje ndani na RIVERS
 
Hizo timu ulizozitaja zina quality ya kushinda away na kwao lazima ukae.

Hawajawahi kuwasha moto kwenye viwanja vya ugenini.
Sasa utopolo kuwasha moto hamtaki na quality hamna basi endeleeni kuwa wasindikizaji.
 
Mechi za kirafiki za kimataifa kwa timu ya Yanga ni muhimu kama ilivyo chumvi katika pilau. mechi hizo zitampatia kocha kujua mapungufu ya ufundi na vile vile mashabiki kujenga imani na timu katika mechi za mtoano ambazo haziko mbali na pwani ya bahari.
Tuache kwanza tusherehekee ubingwa na kulizungusha kombe, hata hizo mechi za raundi ya awali nazo pia ni mechi za kimataifa
 
Mechi za kirafiki za kimataifa kwa timu ya Yanga ni muhimu kama ilivyo chumvi katika pilau. mechi hizo zitampatia kocha kujua mapungufu ya ufundi na vile vile mashabiki kujenga imani na timu katika mechi za mtoano ambazo haziko mbali na pwani ya bahari.

Naomba sana yanga ialike timu zifuatazo kabla ya kuingia mtoanoni. ASANTE KOTOKO, WAYAD CASABLANCA, ESPARENCE NA PETRO DE LUANDA. Amini amini nawaambieni mashabiki wenzangu hapo tutajenga kujiamini kuwa timu yetu imeumbika namna gani kiufundi, stamina na ball possesion.

Je, timu ina uwezo namna gani kutoa sare ugenini na kufanya mauaji pale Lupaso? au kufanya mauaji lupaso na kulinda ushindi ugenini. haya ni maswali muhimu sana mshabiki uwe nayo kuhusu uwezo wa timu yetu ya YASC,
Ni wazo zuri
 
Hakuna timu kubwa itakayokubali kuja kucheza na timu ya mchangani. Tusidanganyane. Labda timu toka Somalia , shelisheli, Djibouti na Hertrea hao wanaweza kuwakubalia.
 
Mashabiki wa Simba wengi ni vichaa, yaan wao mafanikio ni kutolewa Robo fainali na hapo wanajiona timu kubwa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wee hata makundi ushawahi kufika? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani ukikubali umezidiwa mafanikio, unapasuka wapi?
 
Lazima wataangalia timu inayoawaita ina uwezo upi(ranking)ipo nafasi ipi kwenye ubora kwa Africa.
 
Mechi za kirafiki za kimataifa kwa timu ya Yanga ni muhimu kama ilivyo chumvi katika pilau. mechi hizo zitampatia kocha kujua mapungufu ya ufundi na vile vile mashabiki kujenga imani na timu katika mechi za mtoano ambazo haziko mbali na pwani ya bahari.

Naomba sana yanga ialike timu zifuatazo kabla ya kuingia mtoanoni. ASANTE KOTOKO, WAYAD CASABLANCA, ESPARENCE NA PETRO DE LUANDA. Amini amini nawaambieni mashabiki wenzangu hapo tutajenga kujiamini kuwa timu yetu imeumbika namna gani kiufundi, stamina na ball possesion.

Je, timu ina uwezo namna gani kutoa sare ugenini na kufanya mauaji pale Lupaso? au kufanya mauaji lupaso na kulinda ushindi ugenini. haya ni maswali muhimu sana mshabiki uwe nayo kuhusu uwezo wa timu yetu ya YASC,
Team gani kubwa Afrika ije kupoteza muda kucheza na Utopo!? Nendeni Burundi au Somalia mtapata size yenu.
 
Back
Top Bottom