Ushauri: Yanga ijikite Kombe la Shirikisho

Wameku feitoto
 
😂😁😁
 
Saido alihama na magoli yake, lakini pointi zilizokusanywa na magoli hayo hazikuhamia alikohamia..!!
 
Chukueni points zenu za CAF labda mtafika nafasi ya pili
 
Saido alihama na magoli yake, lakini pointi zilizokusanywa na magoli hayo hazikuhamia alikohamia..!!
Mbona unaendelea kuhamisha goli. Ulisema magoli, sasa hivi unasema pointi.

Embu tujikite kwenye mada, Shirikisho halina hadhi sawa na mashindano mengine ya CAF, hilo tulikuwa tunasema toka mwanzo, ni vizuri kuona sasa tunaongea lugha moja.
 
Niliwaambia hawakutaka kusikia.

Za ndaani, kuna majadiliano yanaendelea ndani ya Yanga ili ijipige shoti msimu huu ili mwakani ikacheze Shirikisho.
 
This time nyie ndo mmejikita shirikisho.
Hakuna ubaya, kila kitu mipango. Shirikisho kuna pesa nzuri tu ndiyo maana kuna waarabu na pesa zao kuna timu zao zimejikita huku zinajiokotea tu maokoto kila mwaka.
 
Hakuna ubaya, kila kitu mipango. Shirikisho kuna pesa nzuri tu ndiyo maana kuna waarabu na pesa zao kuna timu zao zimejikita huku zinajiokotea tu maokoto kila mwaka.
Ukiambiwa uchague kati ya shirikisho na klabu bingwa(ACL)utaenda wapi?
 
Ukiambiwa uchague kati ya shirikisho na klabu bingwa(ACL)utaenda wapi?
Shirikisho yalikuwa ni mashindano sahihi kwa Simba msimu huu kwa kuwa timu inajengwa upya bila pressure na inaweza kupata matokeo. Klabu bingwa ingekuwa too much kujenga timu.

Simba inaweza kuamua kukaa misimu miwili Shirikisho ndiyo irudi Klabu Bingwa ikiwa imara zaidi.

Soma pia uzi huu.

Labda Simba kwenda Kombe la Shirikisho ni jambo jema kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…