SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
- Thread starter
- #161
Mkuu huyu kijana atakuwa kajifunza kitu kwenye maisha
Huu ushauri ubebe kisha ufikishe kwa makolo wenzako
Kibao kimegeuka
HHahahahahahaaa
Unaendeleaje?
Sielewi mnachokebehi ni nini wakati mwezi wa 4 nilikuja na uzi mwingine kama huu kuiongelea Simba kwenda Shirikisho.😂😁😁Simba SC ndio shirikisho
Labda Simba kwenda Kombe la Shirikisho ni jambo jema kwa sasa
Niliwahi kutoa ushauri kwa Yanga kujikita kwenye kombe la shirikisho maana wameonyesha wana uwezo wa kukomaa na kuchungulia ubingwa kabisa. Baada ya ushauri ule nilishambuliwa sana na mashabiki lia lila wa Deportivo de Utopolo. Leo nawageuzia kibao wana Lunyasi wenzangu. Simba imeonyesha kupata...