Ushauri: Yanga ijikite Kombe la Shirikisho

Ushauri: Yanga ijikite Kombe la Shirikisho

Cheki huyu alichokiandika nilijua atafuta kwa aibu lakini bado ameiacha hii trash hajajua kuwa alichokiandika ni aibu??

Simba yupo Club Bingwa kutokana na juhudi zake za kuifanya Tanzania iwe miongoni mwa timu 12 zitazoweza kutoa timu nne kwenye michuano ya CAF.

Simba ilijitengenezea backup yenyewe kuwa hata ikitokea kombe la ligi kuu limeenda kwa timu ya ajabu basi anayo access ya kucheza CAF champion league.

Sijui kama ulikuwa unaelewa hii?
Jibu swali. Simba ni bingwa wa nchi gani?
Viti maalum vinawahusu
 
Nafasi ya ya kwanza ipo katika battle baina ya timu mbili (Al Ahly na Cr Belarouzidad)

Maana yake wewe Yanga haupo kwenye hiyo marathon wewe ni shuhuda tu wakuangalia hiyo battle.

Na yeyote kati ya hao akishindwa hiyo battle ataangukia nafasi ya pili.
Wapumbavu wengi sana hii nchi
 
J
Cheki huyu alichokiandika nilijua atafuta kwa aibu lakini bado ameiacha hii trash hajajua kuwa alichokiandika ni aibu??

Simba yupo Club Bingwa kutokana na juhudi zake za kuifanya Tanzania iwe miongoni mwa timu 12 zitazoweza kutoa timu nne kwenye michuano ya CAF.

Simba ilijitengenezea backup yenyewe kuwa hata ikitokea kombe la ligi kuu limeenda kwa timu ya ajabu basi anayo access ya kucheza CAF champion league.

Sijui kama ulikuwa unaelewa hii?
Jikite shirikisho. Huku club bingwa ni wakubwa tu
 
Huku Klabu Bingwa kuna wenyewe na wenyewe ndiyo sisi simba
20240603_062506.jpg
 
Mpaka sasa katika hatua ya makundi hakuna matokeo ya Yanga ambayo yamekuwa tofauti au ya kushangaza sana tofauti na yale tuliyoyatarajia. Labla yale ya kushindwa kupata point 3 kutoka kwa Medeama kule Ghana. Kutoka suluhu na mwarabu kwa Mkapa si matokeo ya kushangaza, Yanga alihitaji ushindi katika mechi ile kama ambavyo Al Ahly alihitaji sare.

Kundi la Yanga lilikuwa linatabirika na mpaka sasa limevurugwa na mechi moja tu, ule ushindi wa Medeama dhidi ya CRB na ndiyo ambacho kimekuja kuipa matumaini Yanga mpaka sasa.

Yanga ikielekeza nguvu kule shirikisho, kwa kikosi ilichonacho na wakiongeza nguvu maeneo machache wana nafasi ya kufanya vizuri kutokana na aina na quality ya timu zilizoko kule. Huku Klabu Bingwa kuna wenyewe na wenyewe ndiyo sisi.

Shida ni kwamba kwenda shirikisho inabidi ipunguze nguvu kwenye kutafuta ubingwa wa NBC na wakati mwingine ijipige shoti ishike nafasi ya 3 au ya 4 ili iwe inadondokea huko Shirikisho kwa sababu kuna dalili zote Simba itaendelea kuipatia Tanzania nafasi za kutosha kimataifa.
😂😁😁Simba SC ndio shirikisho
 
Back
Top Bottom