Ushauri: Yanga ijikite Kombe la Shirikisho

Wydad haijashuka kiwango, shida ya Wydad niliwahi kuisema katika uzi mmoja kabla hata mechi za makundi hazijaanza ni kuwa haina forward lineup nzuri. Hili tatizo wamekuwa nalo kwa muda sasa ndiyo maana wanapata shida kupata magoli. Wydad iliyocheza na Simba QF na kwenda hadi fainali msimu uliopita ndiyo ile ile iliyocheza nayo mechi hizi mbili za mwisho. Kwa hiyo niambie hiko kiwango chao kimeshuka toka lini?

Yaani kweli Medeama unaiweka katika kundi la timu zenye viwango, Medeama ambayo mlijihakikishia point 6 hadi juzi tu hapa? Kwanza tunaongelea Medeama ipi, ile mliyocheza nayo Ghana au hii ya juzi maana mmecheza na Medeama mbili tofauti.
Bora hata mende ana akili kuliko hili kolo
 
Hivi mashabiki wa yanga hii timu mlichaguliwa kuishabikia au mliipenda wenyewe? Hivi mtu unaanzaje kuwa shabiki wa gongowazi? Hua najiuliza sana hili swali.
20231220_231028.jpg

😂😂
 
Mpaka sasa katika hatua ya makundi hakuna matokeo ya Yanga ambayo yamekuwa tofauti au ya kushangaza sana tofauti na yale tuliyoyatarajia. Labla yale ya kushindwa kupata point 3 kutoka kwa Medeama kule Ghana. Kutoka suluhu na mwarabu kwa Mkapa si matokeo ya kushangaza, Yanga alihitaji ushindi katika mechi ile kama ambavyo Al Ahly alihitaji sare.

Kundi la Yanga lilikuwa linatabirika na mpaka sasa limevurugwa na mechi moja tu, ule ushindi wa Medeama dhidi ya CRB na ndiyo ambacho kimekuja kuipa matumaini Yanga mpaka sasa.

Yanga ikielekeza nguvu kule shirikisho, kwa kikosi ilichonacho na wakiongeza nguvu maeneo machache wana nafasi ya kufanya vizuri kutokana na aina na quality ya timu zilizoko kule. Huku Klabu Bingwa kuna wenyewe na wenyewe ndiyo sisi.

Shida ni kwamba kwenda shirikisho inabidi ipunguze nguvu kwenye kutafuta ubingwa wa NBC na wakati mwingine ijipige shoti ishike nafasi ya 3 au ya 4 ili iwe inadondokea huko Shirikisho kwa sababu kuna dalili zote Simba itaendelea kuipatia Tanzania nafasi za kutosha kimataifa.
1703200733790.png
 
Sio kundi la kifo ni kwamba wewe hauna mikazo ya kubattle na hizo timu

Sisi tumeongoza ligi tukiwa juu ya Al Ahly, El Merrick, na As Vita

Hapo nazungumzia El Merrick yule aliyekuwa tishio sio huyu aliyekuja juzi akiwa na migogoro nchini kwake.

Kundi hili mlilopo nyie angekuwa Simba angeongoza kundi akiwa mbele ya wakwanza
Wewe ni Mpumbavu!!! Shabiki mpumbavu usikete historia kushindanisha kinachozungumziwa sasa mjinga wewee
 
Mbona hilo jambo lipo wazi

Hatukatai sio kila timu inapofanya vibaya sababu inakuwa migogoro

Ila ishu ya Simba ipo clear ni kama tu ishu ya viingilio kwenye mechi za Simba kimataifa kuwekwa 3,000

Inafahamika kiingilio kimewekwa 3,000 kwasababu mashabiki hawafurahishwi na mwenendo wa timu na hivyo wametia mgomo.
Wewe ni Stupid!!
 
Yaani kweli Medeama unaiweka katika kundi la timu zenye viwango, Medeama ambayo mlijihakikishia point 6 hadi juzi tu hapa? Kwanza tunaongelea Medeama ipi, ile mliyocheza nayo Ghana au hii ya juzi maana mmecheza na Medeama mbili tofauti.
Ndiyo hiyohiyo Medeama nayoizungumzia ambayo wewe inawezekana ungeambulia point moja. Yanga ingekua kundi lenu ingekua inaongoza mpaka sasa. Timu zote unga unga atleast Asec, ila wengine wote hamna kitu
 
Mpaka sasa katika hatua ya makundi hakuna matokeo ya Yanga ambayo yamekuwa tofauti au ya kushangaza sana tofauti na yale tuliyoyatarajia. Labla yale ya kushindwa kupata point 3 kutoka kwa Medeama kule Ghana. Kutoka suluhu na mwarabu kwa Mkapa si matokeo ya kushangaza, Yanga alihitaji ushindi katika mechi ile kama ambavyo Al Ahly alihitaji sare.

Kundi la Yanga lilikuwa linatabirika na mpaka sasa limevurugwa na mechi moja tu, ule ushindi wa Medeama dhidi ya CRB na ndiyo ambacho kimekuja kuipa matumaini Yanga mpaka sasa.

Yanga ikielekeza nguvu kule shirikisho, kwa kikosi ilichonacho na wakiongeza nguvu maeneo machache wana nafasi ya kufanya vizuri kutokana na aina na quality ya timu zilizoko kule. Huku Klabu Bingwa kuna wenyewe na wenyewe ndiyo sisi.

Shida ni kwamba kwenda shirikisho inabidi ipunguze nguvu kwenye kutafuta ubingwa wa NBC na wakati mwingine ijipige shoti ishike nafasi ya 3 au ya 4 ili iwe inadondokea huko Shirikisho kwa sababu kuna dalili zote Simba itaendelea kuipatia Tanzania nafasi za kutosha kimataifa.
Mbumbumbu fc
 
Sio kundi la kifo ni kwamba wewe hauna mikazo ya kubattle na hizo timu

Sisi tumeongoza ligi tukiwa juu ya Al Ahly, El Merrick, na As Vita

Hapo nazungumzia El Merrick yule aliyekuwa tishio sio huyu aliyekuja juzi akiwa na migogoro nchini kwake.

Kundi hili mlilopo nyie angekuwa Simba angeongoza kundi akiwa mbele ya wakwanza
Kumbe na wewe ni mbumbumbu...aisee,ongelea kundi uliopo sasa hivi..unaleta taarifa za kundi la miaka kenda ilopita?aisee,UNASHINDWA MFUNGA MAKHIRIKHIRI ,UNASHINDWA MFUNGA ASEC NYUMBAN ,SIJUI UNATAMBA NINI?
RAGE AJENGEWE MNARA
 
Mbona hilo jambo lipo wazi

Hatukatai sio kila timu inapofanya vibaya sababu inakuwa migogoro

Ila ishu ya Simba ipo clear ni kama tu ishu ya viingilio kwenye mechi za Simba kimataifa kuwekwa 3,000

Inafahamika kiingilio kimewekwa 3,000 kwasababu mashabiki hawafurahishwi na mwenendo wa timu na hivyo wametia mgomo.
Wewe ni mbumbumbu ,aka visingizio fc
 
Back
Top Bottom