Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Aisee

We jamaa n
Ndio .

Maybe Kuna demu mkali full mashauzi mtaa fulani ataanza broo atambana nae atahangaishwa wee na vile anajua kuigiza kama sharukh khan akililia penzi atampata

Baada ya wiki anaanza mfanyia visa mara hajibu text at that time mimi tayari namba ninayo nakua kidaka chozi namfutilia tu najua ataniambia ana mtu ambaye ni broo hivyo hivyo

Kosa kuu wanalofanya wanawake baada ya ku break up wanakuwa rebound guy au relationship kupunguza maumivu hapo ndipo mimi ninapoingia

Baada ya kula namjulisha broo unakuta hapo tunacheka kisengee [emoji23] and then paap namuacha Hapo nakuwa nimempiga na kitu kizito kichwani

Akijua msela wake alikuwa ni ndugu yangu ndio kanipa namba ndio inakuwa kitu kizito kichwani mara mbili
Aisee

We jamaa anasbo, pamoja na mzabzab lazima nitawakuta motoni
 
Umekwama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasomaga Sana nyuzi zako ukimuelezea mchepuko wako,Mara mmeachana,Mara umemvamia kwake na yeye alivyo Mafia anaoga halafu anatangulia kitandani mzee baba unajilia safiiii.na ya matumizi unaacha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ntafanyaje Sasa na yeye ndo ananifikisha kileleni.

Kiufupi tumekutana kichupa na mfuniko wake[emoji12]
 
Aisee

We jamaa n
Ndio .

Maybe Kuna demu mkali full mashauzi mtaa fulani ataanza broo atambana nae atahangaishwa wee na vile anajua kuigiza kama sharukh khan akililia penzi atampata

Baada ya wiki anaanza mfanyia visa mara hajibu text at that time mimi tayari namba ninayo nakua kidaka chozi namfutilia tu najua ataniambia ana mtu ambaye ni broo hivyo hivyo

Kosa kuu wanalofanya wanawake baada ya ku break up wanakuwa rebound guy au relationship kupunguza maumivu hapo ndipo mimi ninapoingia

Baada ya kula namjulisha broo unakuta hapo tunacheka kisengee [emoji23] and then paap namuacha Hapo nakuwa nimempiga na kitu kizito kichwani

Akijua msela wake alikuwa ni ndugu yangu ndio kanipa namba ndio inakuwa kitu kizito kichwani mara mbili
Aisee

We jamaa anasbo, pamoja na mzabzab lazima nitawakuta motoni
 
Tabia zake ndo kikwazo,

Kwenye ule Uzi wa Kwanza, nishajaribu Sana kumtuliza atulie ila anaishi maisha ya bongomovie. Afu ananichukulia danga.

Kwaiyo nilichoamua Ni usanii juu ya usanii, kanichukulia danga namimi namchukulia kahaba. Simuoi Wala nini mpk pale akili itakapomkaa sawa.

Kumwacha simuachi, akipata mtu nawavuruga anarudi kwangu.
Yaani Ni bampa to bampa mpka
Atakapobadilika akawa mwanamke Bora Kama wengine.
Dah huyu dada angejua angehama hapo anapoishi haraka sana sema ndo hvo hela tamuu na kodi analipiwa hawezi kujiamulia mwenyewe
 
Ibilisi bin shetani[emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha.....
Jamaa ana I'd ya kuogofya Sana.
Ukisoma comments zake zinatisha kabisa[emoji2]

Sidhan Kama Kuna mod anaujasili was kuipiga ban hi id[emoji1787]
 
Akibadilika namuachia TU akaolewe kwngn, sema tatiz lake Hana heshima,anapenda ligi na ananichukulia kama danga lake kwa kigezo Cha kunipenda.
(Anahusi sijui anachokifanya)
Ego ego ego
Bidada ametytiwa hachomokii
 
Back
Top Bottom