Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

[emoji23][emoji23] kwahyo mlikuwa mnawafanya kama project sio vizuri mkuu
Ndio .

Maybe Kuna demu mkali full mashauzi mtaa fulani ataanza broo atambana nae atahangaishwa wee na vile anajua kuigiza kama sharukh khan akililia penzi atampata

Baada ya wiki anaanza mfanyia visa mara hajibu text at that time mimi tayari namba ninayo nakua kidaka chozi namfutilia tu najua ataniambia ana mtu ambaye ni broo hivyo hivyo

Kosa kuu wanalofanya wanawake baada ya ku break up wanakuwa na rebound guy au rebound relationship kupunguza maumivu hapo ndipo mimi ninapoingia

Baada ya kula namjulisha broo unakuta hapo tunacheka kisengee [emoji23] and then paap namuacha Hapo nakuwa nimempiga na kitu kizito kichwani

Akijua msela wake alikuwa ni ndugu yangu ndio kanipa namba ndio inakuwa kitu kizito kichwani mara mbili
 
Nakadori wewe ni mpuuzi nini? Take yourself into the shoes of his wife na malaya wake huyo! Foolish ^man^ you!
Mkuu nimekuwa mpuuzi tena??
Sasa so ndo alichochagua na kwa mkewe anasimamia majukum 24/7 ...alipomkwaza alijirudi...na wife yupo poa..
Unataka afanyaje tena
 
Ndio .

Maybe Kuna demu mkali full mashauzi mtaa fulani ataanza broo atambana nae atahangaishwa wee na vile anajua kuigiza kama sharukh khan akililia penzi atampata

Baada ya wiki anaanza mfanyia visa mara hajibu text at that time mimi tayari namba ninayo nakua kidaka chozi namfutilia tu najua ataniambia ana mtu ambaye ni broo hivyo hivyo

Kosa kuu wanalofanya wanawake baada ya ku break up wanakuwa rebound guy au relationship kupunguza maumivu hapo ndipo mimi ninapoingia

Baada ya kula namjulisha broo unakuta hapo tunacheka kisengee [emoji23] and then paap namuacha Hapo nakuwa nimempiga na kitu kizito kichwani

Akijua msela wake alikuwa ni ndugu yangu ndio kanipa namba ndio inakuwa kitu kizito kichwani mara mbili
Ha ha ha...
Kwaiyo wee ulkua mzee wa deadballs🤣
 
Sahv kaoa au Bado?
Hajaoa ila kazalisha ana mtoto mmoja yupo kwa bi mkubwa ye yupo jeshini huko anatulindia mipaka ..ile issue ya ziwa nyasa na malawi alikuepo mmoja wao alienda huko alifikaga mbeya anakwambia dogo kuna wanawake wana mishuzi nitapona kweli huku [emoji23][emoji23]
 
Mkuu nimekuwa mpuuzi tena??
Sasa so ndo alichochagua na kwa mkewe anasimamia majukum 24/7 ...alipomkwaza alijirudi...na wife yupo poa..
Unataka afanyaje tena
Jamaa anakiroho cha kwann, nishasema mahali kua usikute uyu jamaa ndo uyo was tanesco nilompiga na kitu kizito kichwan.

Kasoma Uzi kakumbuka mbali akapanic😊
 
Ananipga kamba nilitaka nishangae mm najua karne hii ukiwa mwanamke usipotongozwa ujue una nuksi pepo mchafu au jini makata au maimunPeopleepo

Ananipga kamba nilitaka nishangae mm najua karne hii ukiwa mwanamke usipotongozwa ujue una nuksi pepo mchafu au jini makata au maimuna
Jini amtoe wapi yule, vinginevyo atwambie kua anakoishi Kuna uhaba wa wanaume.
Tuagize dreamliner ya mama Samia ipeleke wengine 😃
 
Sasa i mpk ajue ilkua planned, Unaweza TU kumruka kua nilikua sijui.
Ila nnavojua mwanamke atakufa nalo kifuani tu.
Maana kuliwa na marafiki afu wanapokezana tu Ni aibu kubwa sana kwa mwanamke😊

Vinginevyo mwanamke awe anakumudu😊
Daah wanakufa nalo moyoni maana kukiongea hata kwa shoga zake ni aibu unadhani mwanamke kama huyu atakuja kuamini mapenzi au kijana amwambie anampenda ?😂
 
Daah wanakufa nalo moyoni maana kukiongea hata kwa shoga zake ni aibu unadhani mwanamke kama huyu atakuja kuamini mapenzi au kijana amwambie anampenda ?[emoji23]
Kabisa mkuu, hawasemagi hao[emoji4]
 
Back
Top Bottom