Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Sema the worst you did ni kumuharibia future, ungemuacha aolewe kama kweli unampenda na kumjali, you knew exactly kwamba you won't marry her and yet ukamzibia bahati yake

I feel sorry for her na what i can see huyo mchepuko atazeeka akiwa hana nyuma wala mbele
Akibadilika namuachia TU akaolewe kwngn, sema tatiz lake Hana heshima,anapenda ligi na ananichukulia kama danga lake kwa kigezo Cha kunipenda.
(Anahusi sijui anachokifanya)

Sasa namimi namtumia hivyo hivyo afu simuachi, na naziba milango yoyote ya yet kua kwny mahusiano na mtu mwngn😊

Naumbuka mwaka Juzi Kuna jamaa flan Ni barobaro nilikuta anatext nae anamtongoza, afu uyu mwanamke Yuko Kama nataka sitaki.
nikachukua namba ake kimya kimya na kumtaarifu jamaa kua aachane na mtu Wang. Akasema POA alkua hajui.
akachil Kama mwezi Hivi kumbe Bado Akarud akawa Bado anaendelea kumchombeza mwanamke kdg kdg kwa wasap.

Aisee
Nilimfata ofsini kwake mchana kweupe nikamkuta parking ndo anashuka. Pale pale nikamvunjia kioo mbele cha ist kusudi. afu nikamtupia usoni laki 2 ya kununua kioo kingine kipya.

Na nikampiga warning kubwa pale pale kua next time nikirudi hapa kwa suala hili hili jua nakupasua huo ubongo wako.

Jamaa hakujibu kitu, nikaondoka zangu.
Na hakuendelea na ule upuuzi upuuzi Tena.
 
Tabia zake ndo kikwazo,

Kwenye ule Uzi wa Kwanza, nishajaribu Sana kumtuliza atulie ila anaishi maisha ya bongomovie. Afu ananichukulia danga.

Kwaiyo nilichoamua Ni usanii juu ya usanii, kanichukulia danga namimi namchukulia kahaba. Simuoi Wala nini mpk pale akili itakapomkaa sawa.

Kumwacha simuachi, akipata mtu nawavuruga anarudi kwangu.
Yaani Ni bampa to bampa mpka
Atakapobadilika akawa mwanamke Bora Kama wengine.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dahh ana kibarua kizito Sana huyu....Ila napenda vile unampenda japo unajua yeye anakuchukulia danga.. wewe Ni mwamba imara😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dahh ana kibarua kizito Sana huyu....Ila napenda vile unampenda japo unajua yeye anakuchukulia danga.. wewe Ni mwamba imara😂
Ntafanyaje Sasa, lazma tuoneshane makali ajue sitakagi ujinga Mimi😊
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dahh ana kibarua kizito Sana huyu....Ila napenda vile unampenda japo unajua yeye anakuchukulia danga.. wewe Ni mwamba imara😂
Nitafanyaje sasa, lazma tuoneshane makali ajue sitakagi ujinga Mimi😊
 
Jamaa na kaka ake walikua wanagawana vitu vizur😃
LAZIMA mwanmke akijua ajione faller kwelikweli😊
Aisee yaani hapo lazima waumie mnoo halafu ukute dada wa watu anamtembelea anamkuta kaka mtu 😂
Anajiona kabisa hapa nimechezewa
 
Wewe jamaa DeepPond ni kiboko. Katika mambo ambayo siwezi kupoteza muda ni mademu. Akinizingua tu mara moja huwa nampiga chini silence. Ili mradi tu nina ushahidi wa kutosha. Kama wewe hivyo unakuwa mpaka na ushahidi
 
Aisee yaani hapo lazima waumie mnoo halafu ukute dada wa watu anamtembelea anamkuta kaka mtu 😂
Anajiona kabisa hapa nimechezewa
Sema hiyo Ni nzur Kama mdada unajua wazi kaja kukuchuna hana mapenz na wewe😊
 
Wewe jamaa DeepPond ni kiboko. Katika mambo ambayo siwezi kupoteza muda ni mademu. Akinizingua tu mara moja huwa nampiga chini silence. Ili mradi tu nina ushahidi wa kutosha. Kama wewe hivyo unakuwa mpaka na ushahidi
Binafs mimi ushahidi TU hautoshi, ni nakuharibia kabisa 😊
 
Jamaa na kaka ake walikua wanagawana vitu vizur[emoji2]
LAZIMA mwanmke akijua ajione faller kwelikweli[emoji4]
Mara ya kwanza nikimfatilia hajui nakua mbali na broo kabisa baadae nikishakula nikishachoka [emoji3]anaweza nikuta mjini au dukani na broo au maskani hapo

Lazima ukutane na text Kama essay utaskia huyo ndio kakupa namba yangu sio

Maneno mengi tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Broo mjinga sana eti dogo nikupe namba utombeee
Ha ha ha....uyo bro wako alikua Hana chembe ya wivu wala mapenzi kwa we wake .
Yaan
Moyo wake ulkua mkavu kavu Kama gunzi la muhindi vile🤣
 
Mara ya kwanza nikimfatilia hajui nakua mbali na broo kabisa baadae nikishakula nikishachoka [emoji3]anaweza nikuta mjini au dukani na broo au maskani hapo

Lazima ukutane na text Kama essay utaskia huyo ndio kakupa namba yangu sio

Maneno mengi tu
Ila apo inakua tayar ishakua too late keshaliwa MDA Sana😊
Nyie majamaa ni hamfai🤣
 
Pia ni mbaya mwanamke mwengine anaweza aakakudh

Pia ni mbaya mwanamke mwengine anaweza akakudhuru
Sasa i mpk ajue ilkua planned, Unaweza TU kumruka kua nilikua sijui.
Ila nnavojua mwanamke atakufa nalo kifuani tu.
Maana kuliwa na marafiki afu wanapokezana tu Ni aibu kubwa sana kwa mwanamke😊

Vinginevyo mwanamke awe anakumudu😊
 
Back
Top Bottom