DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #161
Akibadilika namuachia TU akaolewe kwngn, sema tatiz lake Hana heshima,anapenda ligi na ananichukulia kama danga lake kwa kigezo Cha kunipenda.Sema the worst you did ni kumuharibia future, ungemuacha aolewe kama kweli unampenda na kumjali, you knew exactly kwamba you won't marry her and yet ukamzibia bahati yake
I feel sorry for her na what i can see huyo mchepuko atazeeka akiwa hana nyuma wala mbele
(Anahusi sijui anachokifanya)
Sasa namimi namtumia hivyo hivyo afu simuachi, na naziba milango yoyote ya yet kua kwny mahusiano na mtu mwngn😊
Naumbuka mwaka Juzi Kuna jamaa flan Ni barobaro nilikuta anatext nae anamtongoza, afu uyu mwanamke Yuko Kama nataka sitaki.
nikachukua namba ake kimya kimya na kumtaarifu jamaa kua aachane na mtu Wang. Akasema POA alkua hajui.
akachil Kama mwezi Hivi kumbe Bado Akarud akawa Bado anaendelea kumchombeza mwanamke kdg kdg kwa wasap.
Aisee
Nilimfata ofsini kwake mchana kweupe nikamkuta parking ndo anashuka. Pale pale nikamvunjia kioo mbele cha ist kusudi. afu nikamtupia usoni laki 2 ya kununua kioo kingine kipya.
Na nikampiga warning kubwa pale pale kua next time nikirudi hapa kwa suala hili hili jua nakupasua huo ubongo wako.
Jamaa hakujibu kitu, nikaondoka zangu.
Na hakuendelea na ule upuuzi upuuzi Tena.