Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Ha ha ha...hamna afu unaeza kuta ni mtu flani POA Sana mtaani[emoji4]
Bwana kwa comments za kila mtu unaeza elewa unaongea na mtu wa namna gani,mkorofi,mjanja,mpole,wenye na wasio na busara japo tumejificha Ila Kuna kauhalisia kanaonekana...huyu bwana Ibilis anaweza kuwa poa Ila Hana hofu ya Mungu
 
Uyu wa kwangu Ni balaa, ndo Maana mwenzio mnaona namlinda kwa gharama yoyote Sitaki nimpoteze kabisa[emoji4]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kampe makiss matatu heavy ya Salute
 
Ha ha ha....
Jamaa kisa chake kizur Sana

Kiukweli namsapoti,
Sio kila Jambo Ni lakumuachia mungu.

Vinginevyo unamalizana navyo mwnyw uku uku duniani, ndo maana umepewa mamlaka.

Kule mbinguni mahesabu tu[emoji4]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kampe makiss matatu heavy ya Salute
[emoji8][emoji8][emoji8] yamefika kabisa kwa niaba yako[emoji4]
 
Ha ha ha....
Jamaa kisa chake kizur Sana

Kiukweli namsapoti,
Sio kila Jambo Ni lakumuachia mungu.

Vinginevyo unamalizana navyo mwnyw uku uku duniani, ndo maana umepewa mamlaka.

Kule mbinguni mahesabu tu[emoji4]
hahhahhhaa hatari sana walokole husema kisasi ni Kwa Bwana,yeye ndie atakulipia ila Mimi hua husema usiombe ukutane na bwana Pepsi
Utajua hujui!
😁😁😁😁πŸ”₯πŸ”₯
 
haaa Tena ngoja nimtag kubwa la maadui Yaani huyu ni adui wa Iblis Bin Shetan Kwa kiwango Cha SGR sijui walikosana Nini ngoja nimemwite Mathanzua njoo mshkaji wako anazingua huku
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯
Mimi nachojua dhambi kwa sasa hivi hakuna kama unaweza kufanya jambo fanya ili mradi usilete vurugu au jambo baya kwa jamii embu fikiria kwa kina kila kitu kizuri dhambi eti kuzini dhambi inakuwaje dhambi wakati ni vitu vya kawaida yaan ukifikria sana habari za dhambi hutafanya mengi
 
Uyu hawez kuhama pale, namsubiri Kwanza atulize akili.

Bado waru waru kichwan[emoji4]
Ana akili za kuishi maisha ambayo yako kinyume na jamii na asitetereke? I mean hata umri ukipita na akazaa hata nje ya ndoa bila stress? Kama anaishi maisha ya kufueahisha jamii ataisoma namba ikiwa inaishia
 
hahhahhhaa hatari sana walokole husema kisasi ni Kwa Bwana,yeye ndie atakulipia ila Mimi hua husema usiombe ukutane na bwana Pepsi
Utajua hujui!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91][emoji91]
Ha ha ha ...
Bwana Pepsi anakupasua kabisa.

Kuna wezi wang flani walihusika kunivunjia duka, mmojawapo nilimjua ndo alowakodisha majambaz wale pikpik wakaibe dukan kwangu.

Nlichokifanya sikwenda polisi Wala Nini, niliacha siku kadhaa zikapita nilikwenda kwake usku na petroli nikamchomea Gari yake moto. Ikateketea mpk majivu

Na mpk leo hajui Kama Ni Mimi nilimfanyia vile.

Malipo Ni hapa hapa duniani[emoji4]
 
Wafalme was imani walizini Sana na hwakufanywa chochote na mungu.

Zaid Zaid waliongezewa mibaraka tele Kama kina daudi,Suleiman na ibrahimu[emoji4]
 
Ana akili za kuishi maisha ambayo yako kinyume na jamii na asitetereke? I mean hata umri ukipita na akazaa hata nje ya ndoa bila stress? Kama anaishi maisha ya kufueahisha jamii ataisoma namba ikiwa inaishia
Sahii kabisa, ndo maana nahakikisha siwapi nafas watu kusema majungu.

Namhudumia each& everything aishi kwa Raha[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…