Mr bann alikua dereva wa magari makubwa Huko Malawi akaja kuangusha gari bahati Mbaya akaumia na kuvunjika baadhi ya viungo,wale jamaa wa kampuni wakamtimua bila malipo akarudi bongo kujiuguza,alivyopona akarudi Tena kuomba Kazi wakampa roli la mafuta kilichofuata Ili kulipa kisasi Kwa unyama waliomfanyia mwanzo akanyonya mafuta yote Kwa tank akauza zaidi ya million 400 halafu gari akalitengenezea ajali kwenye makorongo akaruka na kuliachia mpaka Huko makorongoni likalipuka lote likateketea,
Huko mabosi wakijua mzigo wote umelipuka kumbe mbinu za kijasusi zimetumika akarudi bongo kuendelea kula mpunga wake taratiiibu!
mr bann njoo huku utupe mwongozo nakubali sana Mzee wa revenge!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]