Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Yanii dahh dunia mbaya
Unajiona unapendwa kumbe unavurugwa
Dhambiii sana
 
Poleee ndo maana una hasiraaa
 
Sio kweli😊
 
Mi na broo ilikuwa broo akishagonga demu ananipa namba ya demu na mimi nimgonge yeye anamuacha


Changamoto ilikuwa kupangua swali namba yangu umetoa wapi maana hapa ukimtaja broo mission failed
Ha ha ha.... Kwaiyo ukawa unafanyaje Sasa kukamilisha mission😊
 
Nilichojifunza kwenye hadithi yako unampenda Sana huyo mchepuko kuliko mkeo,na wewe una character ya Vijana wa zamani,sio mbahili hata kidogo,,,hongera zako
Tengua kauli bhana, nampenda sana wife wangu😊
 
Usingehangaika na yote hayo bro[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....unajua Ni process ndefu sana umefanya kumhold mchepuko.umekwama kaka
Utadhani yupo vitani
 
Usingehangaika na yote hayo bro🀣🀣🀣🀣🀣🀣....unajua Ni process ndefu sana umefanya kumhold mchepuko.umekwama kaka
Kias chake mkuu, kizur gharama bhana😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…