Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Sijamaana hivyo hiyo itakuwa vurugu katika jamii maana yangu watu wako wa karibu ndio wanapaswa kukusaidia awe mpenz au mama au baba au kaka au mjomba au marafiki wa nyumbani na wa kazini au mapadri au masheikh hao ndio unatakiwa kuwaomba wakikataa kukusaidia nakupa haki ukiwaibia ili ukanunue chakula hupati dhambi lkn ukienda kuiba ktk mpsa au tigo pesa kwa mtu usiyemjua hiyo mbaya na dhambiNna shida na hela twende kwenye mpesa kiosk tukaibe basi...wewe untangulie mbele me nakushkia wallet
Uko so manipulative rafiki yangu.Kivipi, fafanua dada dada Suzy[emoji4]
Cha muhimu Nampa anachotaka, hajalalamika bali anaenjoy.Uko so manipulative rafiki yangu.
Hutaki awe na mtu wakati wewe una mke, Huwezi kumuoa, and the same time hutaki kumpa mtoto.
Sijui umri wake, lakini I think utamtumia for the rest of her life, by the time anashtuka ashakua bibi kizee bila hata mtoto wala mume.
Me yatimaSijamaana hivyo hiyo itakuwa vurugu katika jamii maana yangu watu wako wa karibu ndio wanapaswa kukusaidia awe mpenz au mama au baba au kaka au mjomba au marafiki wa nyumbani na wa kazini au mapadri au masheikh hao ndio unatakiwa kuwaomba wakikataa kukusaidia nakupa haki ukiwaibia ili ukanunue chakula hupati dhambi lkn ukienda kuiba ktk mpsa au tigo pesa kwa mtu usiyemjua hiyo mbaya na dhambi
Nikifanya hivo mama Samia akafanye Nini Sasa, au utashiriki kumsaidia kampeni 2025 kuelezea aloyafanya Kwny utawala wake?Ndiyo maana watu tunashangaa why nchi yetu nzuri yenye neema tele, haina maendeleo. Sababu ni watu kama hawa. Bure kabisa! Afadhali hizo nguvu za kufanya stupidity ungewekeza zisaidie kufufua umeme wa JNHPP kule Mto Rufiji au hata kuzindua SGR.
Basi nkuibie wewe binam tatizo mnazificha mnooUsiibe binamu yangu, ukichomwa kibiriti ntalia Sana binamu[emoji26]
Imagine maisha bila mapenziii?Ndiyo maana watu tunashangaa why nchi yetu nzuri yenye neema tele, haina maendeleo. Sababu ni watu kama hawa. Bure kabisa! Afadhali hizo nguvu za kufanya stupidity ungewekeza zisaidie kufufua umeme wa JNHPP kule Mto Rufiji au hata kuzindua SGR.
Kapotea njia huyu ndo wale wanachapiwa wake daily maana anashindana na maisha kama vile ameyaumba yeye hayo maisha mwisho kwenye pale kati anaharibu mazimaNikifanya hivo mama Samia akafanye Nini Sasa, au utashiriki kumsaidia kampeni 2025 kuelezea aloyafanya Kwny utawala wake?
Mkuu we ni muhaya?Ndiyo maana watu tunashangaa why nchi yetu nzuri yenye neema tele, haina maendeleo. Sababu ni watu kama hawa. Bure kabisa! Afadhali hizo nguvu za kufanya stupidity ungewekeza zisaidie kufufua umeme wa JNHPP kule Mto Rufiji au hata kuzindua SGR.
Mkiombwa hamtoii mtaanza ku list matatizo yenu mwisho unamchosha hata muombaji [emoji56][emoji56]Bora uombe upewe na sio uibe.[emoji4]
Tatizo sio Kwamba tunazificha, Ni Kwamba hata sis hazitutoshi[emoji2]
Weka hizo picha upewe muongozo...Sahii kabisa, am ready 😃🙏