Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Ha ha ha....
Sema Hilo tukio nadhan halijui kama mm and nilikua nyuma yake.

Maana nnachokumbuka bidada aliendelea kumtext uyo barobaro anamjulia Hali afu jamaa hajibu chochote ikawa ndo imeisha hivyo mawasiliano yao yakafa kabisa.[emoji4]
Hurumaaa
Sema kwa vile unahudumu kama danga [emoji185]
Basi ngoma droo...
Awekeze ili maumivu yasiwe makubwa
 
Shetan bwana
Naam kuna dada mmoja aliwahi kunifata analalamika hajatongozwa miezi 6 na anajua aliyemfanyia ni mwenzake ambaye wanashare bwana mmoja ila hajawaoa ili hali amewazalisha wote
Anajua huyo ndio kamtumia huyo jini akanifata nimshauri nikampa ushauri akasomewe na shehe maana alikuwa muislam nikagundua kumbe wanawake mnapenda kutongozwa
 
haaa Tena ngoja nimtag kubwa la maadui Yaani huyu ni adui wa Iblis Bin Shetan Kwa kiwango Cha SGR sijui walikosana Nini ngoja nimemwite Mathanzua njoo mshkaji wako anazingua huku
😂😂😂🔥🔥
Hivi utajiitaje Iblis Bin Shetani kama wewe sio wa Shetani?Ni wazi you belong to Satan! Kila jina au nembo ina maana, haitoki hewani.
 
Hurumaaa
Sema kwa vile unahudumu kama danga [emoji185]
Basi ngoma droo...
Awekeze ili maumivu yasiwe makubwa
Ni Bora hata Angelikua na akili Iyo ya kuwekeza basi.
Akili yake inawaza starehe TU, kwenda kwenye matamasha,kula kulala and nothing's else[emoji4]
 
Memchuni nna week 3
Na ndo namuacha hvo
January ilikuwa ngumu hakuleta kodi ya meza nimesusa sasa (mekuwa kama ma J)
Ha ha ha....
Ebu mtafute kwanza ujue kakumbwa na maswahibu gani uko[emoji4]
 
Huo utundu angemfanyia wa kumuoa ndoa ingegeuka paradise
Yaani hicho ndio kitu Cha kusikitisha zaidi......Ila akili za kike si unazijua?ukute utundu wote huu kisa tu ana compet na mwenzie aonekane anajua kuliko mke....ukute angeolewa kabisa angerelax zake😂😂😂😂
 
Yaani hicho ndio kitu Cha kusikitisha zaidi......Ila akili za kike si unazijua?ukute utundu wote huu kisa tu ana compet na mwenzie aonekane anajua kuliko mke....ukute angeolewa kabisa angerelax zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata wife alianza kwny state nzur, nahs maZoea ya ndoa yanachangia pia[emoji4]
 
Ha ha ha ...
Usiingie wewe zinzi kuu niingie Mimi iyo vipi[emoji2]
Ashajichagulia moto na ukimwi wake...
Namuogopa mzabzab sanaaaa
Sitaki hata anisogelee sema ndo hvo bora akinisogelea mchana jua linawaka sio mbaya sana ila giza likiingia tu napita mbali nae
 
Wafalme was imani walizini Sana na hwakufanywa chochote na mungu.

Zaid Zaid waliongezewa mibaraka tele Kama kina daudi,Suleiman na ibrahimu[emoji4]
Daudi hafai huyu alikuwa na uchu wa mapenzi akampora mtu mke ila Selemani ilikuwa inajulikana kuwa ana tamaa ya wanawake aliowa wanawake wengi kimbembe kipo kwa Ibrahim huyu alikuwa mtu mwema ila alimla beki tatu anaitwa Hagar au hajar unaambiwa huyo Hagar alikuwa anaasili ya ubantu alienda misri kama mtumwa na alikuwa anachura kubwa kilichomvutia Ibrahim ni ile chura akampa mimba mtoto akaitwa Ismail
 
Ashajichagulia moto na ukimwi wake...
Namuogopa mzabzab sanaaaa
Sitaki hata anisogelee sema ndo hvo bora akinisogelea mchana jua linawaka sio mbaya sana ila giza likiingia tu napita mbali nae
Hahaha...
Kwenye kigiza anakubeba mzima mzima na huna pa kujitetea[emoji1787]
 
Yaani uko serious kabisa unachati na shetani[emoji12]

Hivi ukifika kwa mungu utajieleza Nini wewe binamu yangu[emoji1787]
Shetan mbona tunatembea nao na kukutana nao daily...
Unadhan shetani yuko mbali na wewe basiii
Sema ndo hvo inabidi upate mbinu za kumkwepa...
Ila Iblis Bin Shetan huyu hana baya
Madhara yake madogo sana kwa nilivyomsoma
 
Daudi hafai huyu alikuwa na uchu wa mapenzi akampora mtu mke ila Selemani ilikuwa inajulikana kuwa ana tamaa ya wanawake aliowa wanawake wengi kimbembe kipo kwa Ibrahim huyu alikuwa mtu mwema ila alimla beki tatu anaitwa Hagar au hajar unaambiwa huyo Hagar alikuwa anaasili ya ubantu alienda misri kama mtumwa na alikuwa anachura kubwa kilichomvutia Ibrahim ni ile chura akampa mimba mtoto akaitwa Ismail
Ha ha ha....wee jamaa unaijua biblia balaa.
Mi naijua juu juu TU[emoji4]
 
Back
Top Bottom