Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Hata usiniogope binamu,
Mimi tukiishi vizur Sina noma na mtu.

Ila ukinifanyia uhuni, nakulipiza kisasi.
Sinaga habar za kumuachia mungu.

Kuna mmoja nae ni dogo dogo anavuta mibangi naskia ndie aliewachoresha mazingira ya pale waje kuniibia .

Uyu namlia timing anashindwa kukaa kwny mtego, nataka nimteke nimkate visigino awe kiwete maisha[emoji3525]
Mama yangu weeeeeeee
Hapana asee nazidi kuogopaaa yani umkate visiginoo tenaa
Ila ukiwa unazungukwa na mwanaume anayejiamini asee unavimba kitaa sio mwanaume daily unavamiwa tu na vibaka hana cha kufanya
 
Ha Ha ha....
Unataka ukaibe mme wa mtu?
Siibi namchukua mchana kweupe.. hata nikitaka alale kwangu week hashindwi.
Yule alikuwa wangu sema mambo ya shule tukawa mbali niliporudi akawa ameoa. Sasa hapo naiba nachukua halali yangu?
 
Ha ha ha...eti ata mateja wanatongoza[emoji3]
Kwaiyo KUMBE kutongoza sio ishu kabisa
Sio ishu kabisa..
Yani kama hawa boda boda ndo kabisa ukikaa vibaya wanakula mzigo kilainiiii kwa buku tu
Lazima ujipimie nani anatongoza na nani anamaanisha kusimama kwenye zamu kisawasawa
 
Sinaga masihara linapokuja suala la maslahi yangu,

Sitakagi unyonge kabisa Mimi, Ni bampa to bampa[emoji4]

Kuna kipind tunasoma shule,
tukiona msichana anaanza kutuzidi sana darasan,

Tunamtongoza kusudi kwa gharama yoyote ile Kisha akishafall in love,
Tunavuruga kichwa kisaikolojia kusudi ili afeli masomo yake afu boys tushike nafasi za juu Darasani[emoji2]
LAZIMA utakua CCM wewe..... Wallah wabillah wewe ni CCM
 
Hahaha ila Ibrahim alikuwa mjanja alitumia kigezo cha mkewe kutozaa na kutembea na mjakazi wake nafikiria ndio huu uzao wa warabu hata jina lake linasadiki Ismael maana yake ISM ni neno la kibrania ambapo katika arabic pia lina maana sikia na el ni Mungu maana yake mungu amesikia na akapata mtoto baada ya muda mrefu kuwa hajapta mtoto
Hao huko usabatoni tunawaita watoto wa mama mdogo
 
Mama yangu weeeeeeee
Hapana asee nazidi kuogopaaa yani umkate visiginoo tenaa
Ila ukiwa unazungukwa na mwanaume anayejiamini asee unavimba kitaa sio mwanaume daily unavamiwa tu na vibaka hana cha kufanya
Ha ha ha...
Uyu kijana keshakua kibaka sugu mtaani, anaenda segerea siku kadhaa karudi mtaan kutusumbua.

afu wazazi wake na viongz wa mtaa ni kama wanamtetea na kumuogopa vile.
Maana kila tukio wanaishia kumripoti polisi.

Sasa Skuhz Ni anawalengesha majambaz wageni waje kutuibia waondoke zao afu yeye anakaa pembeni.

Sasa dawa yake Ni kumtafutia wahuni wasiojulikana kutoka mbali hata mkoa uko, wanamteka na kumkata visigino kabisa afu wanamwachia awe kiwete maisha yake yote ili aache wizi Kabisa[emoji3525]

Kiukweli wezi wamenitia hasara kubwa Sana, nikielezea figure hapa wengine watasema najimwambafai.

Ila kiuhalisia Sina huruma nao kabisa kwa Sasa[emoji3525]
 
Ndo maana nkakwambia ntakuja kukuibia
Si bora niibe me binam kuliko waibe wezi wq mbali hukoo
 
Back
Top Bottom