Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Moto hakuna amini hiliWee Moto wa milele unakuita[emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moto hakuna amini hiliWee Moto wa milele unakuita[emoji2]
Mama yangu weeeeeeeeHata usiniogope binamu,
Mimi tukiishi vizur Sina noma na mtu.
Ila ukinifanyia uhuni, nakulipiza kisasi.
Sinaga habar za kumuachia mungu.
Kuna mmoja nae ni dogo dogo anavuta mibangi naskia ndie aliewachoresha mazingira ya pale waje kuniibia .
Uyu namlia timing anashindwa kukaa kwny mtego, nataka nimteke nimkate visigino awe kiwete maisha[emoji3525]
😂😂😂Umeona eeh[emoji2]
Una akili mingi Sana mkuu[emoji109]
Siibi namchukua mchana kweupe.. hata nikitaka alale kwangu week hashindwi.Ha Ha ha....
Unataka ukaibe mme wa mtu?
Sio ishu kabisa..Ha ha ha...eti ata mateja wanatongoza[emoji3]
Kwaiyo KUMBE kutongoza sio ishu kabisa
Hana baya huyuWee Moto wa milele unakuita[emoji2]
Tena sanaHa ha ha ...
Maisha bado matamu aisee[emoji4]
Huyo ndio Basi Tena Yuko chini ya Jambazi sugu...asubiri mpaka achokwe amwagwe😭😭😭WiFi mwaka huu tumepata..
Atakuja kustuka limezama...
Ngoja binam ajimegee tani yake bila hiyana
Hata asali huwezi ila ukijua nyuki anahangaikia wapiiHa ha ha...
Iyo mbona Ni hatar sana[emoji848]
Ndo maana wanasema Bata ukimchunguza huwez mla kabisa
LAZIMA utakua CCM wewe..... Wallah wabillah wewe ni CCMSinaga masihara linapokuja suala la maslahi yangu,
Sitakagi unyonge kabisa Mimi, Ni bampa to bampa[emoji4]
Kuna kipind tunasoma shule,
tukiona msichana anaanza kutuzidi sana darasan,
Tunamtongoza kusudi kwa gharama yoyote ile Kisha akishafall in love,
Tunavuruga kichwa kisaikolojia kusudi ili afeli masomo yake afu boys tushike nafasi za juu Darasani[emoji2]
Hao huko usabatoni tunawaita watoto wa mama mdogoHahaha ila Ibrahim alikuwa mjanja alitumia kigezo cha mkewe kutozaa na kutembea na mjakazi wake nafikiria ndio huu uzao wa warabu hata jina lake linasadiki Ismael maana yake ISM ni neno la kibrania ambapo katika arabic pia lina maana sikia na el ni Mungu maana yake mungu amesikia na akapata mtoto baada ya muda mrefu kuwa hajapta mtoto
Kwelii hakuna moto??Moto hakuna amini hili
English loveNampenda kwa kweli
Iblis Bin Shetan I love u
Namuonea hurumaHuyo ndio Basi Tena Yuko chini ya Jambazi sugu...asubiri mpaka achokwe amwagwe[emoji24][emoji24][emoji24]
Ha ha ha...Mama yangu weeeeeeee
Hapana asee nazidi kuogopaaa yani umkate visiginoo tenaa
Ila ukiwa unazungukwa na mwanaume anayejiamini asee unavimba kitaa sio mwanaume daily unavamiwa tu na vibaka hana cha kufanya
We umesoma sana bible..English love
Spanish Amor
French Amour
Italian amore
Latin amo
Portugese Amor
German liebre
Swahili pendo
Greek agapao
Hebrew ahaba
Arabic
Hata mungu ni upendo
Usipompenda binadamu mwenzako hata mungu humepndi
Ndo maana nkakwambia ntakuja kukuibiaHa ha ha...
Uyu kijana keshakua kibaka sugu mtaani, anaenda segerea siku kadhaa karudi mtaan kutusumbua.
afu wazazi wake na viongz wa mtaa ni kama wanamtetea na kumuogopa vile.
Maana kila tukio wanaishia kumripoti polisi.
Sasa Skuhz Ni anawalengesha majambaz wageni waje kutuibia waondoke zao afu yeye anakaa pembeni.
Sasa dawa yake Ni kumtafutia wahuni wasiojulikana kutoka mbali hata mkoa uko, wanamteka na kumkata visigino kabisa afu wanamwachia awe kiwete maisha yake yote ili aache wizi Kabisa[emoji3525]
Kiukweli wezi wamenitia hasara kubwa Sana, nikielezea figure hapa wengine watasema najimwambafai.
Ila kiuhalisia Sina huruma nao kabisa kwa Sasa[emoji3525]
Yaan mungu akuumbe halafu akuchome moto kwa kosa gani anakuchoma motoKwelii hakuna moto??