Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Miaka 6 iliyopita nilipiga field kwenye ofisi moja hiv nilipokuwa namaliza diploma boss alikuwa mkuda kila Siku anatukana tu aisee mpaka nikawa najiona mtumwa hasaa.....mwaka Jana nipo kwenye harakati za shughuli zangu nikapangiwa kupiga special auditing ofisini kwake ....jamaa aliponiona nilimuona anaogopa sana tukafanya yetu tukasepa ila nilimtesa sana kifkra mpaka tunamaliza Nazi pale ofisini kwake! Mara dogo unajituma sana yaan ananisifia kijinga kijinga tu haelewek!
 
kwahiyo huyo demu kawa mkeo au mama watoto wako wakujitegemea?[emoji849]
 
Ila dada zetu wa kichaga.. wana dharau saa nyingine
 
Ndio uyo ni kumpiga paramount ya kufa mtu alafu apite hivi yani tumia kama babkish alafu iteme au kizuri zaidi mpotezee mazima kuna wengine warembo zaidi we mwanaume huyu tayari sio.
 
Sasa meneja wa benki ya watu utaninyima huduma kisa nimekudharau? Huduma utatoa tu. Yale yametokea nje ya kazi.
 
In my early 20s nilikuwa na gari ya Kijerumani. Nikataka kumgonga Mzee mmoja muuza madafu kwa baiskeli yule Mzee akaniangalia kwa dharau akasema 'mkishaiba magari ya Baba zenu mnakosa kabisa ustaarabu' nilikosa cha kumjibu.
 
Nahitaji mishe nilipe madeni

Kwan ABSA hawakulipi vizur?
 
So anajuta kua kapoteza nafasi ya umarioo?
 

Believe me, huyo mdada uliemzalisha amekupendea hela ANOTINO
 
pacha wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…