Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Mwaka 2014 nilipanda kivuko kuelekea kigamboni, pembeni yangu alikaa mtoto mzuri kama mwarabu fulani hivi ana kishepu cha maana kweli kweli, nika msalimia akakausha nikarudia tena mara ya pili akaitikia kinyonge kwasababu ya mwonekano mijdevu, nywele hazijachanwa suruali jeans na tisheti form six chini kiatu tlavota
Nikamuomba namba akaniuliza wewe unaona mimi ni saizi yako! nikamjibu nisamehe.
Baadae mwaka 2014 mwishoni nilikuwa nahitaji mtu wa manunuzi kwa mkataba wa miezi 6 katika project yangu kati ya watu 45 walio apply kuomba hiyo kazi mmojawapo nilimfananisha nayeye.
Niliwaita watu wa tatu na huyu niliye mdhania akiwepo kwaajili ya interview hakuamini alichokiona maana aliponiona alinikumbuka maana ilikuwa ni miezi kama mitatu imepita.
Walifanya interview lakini yeye hakukidhi vigezo hivyo hakupata kazi,
Na alinifuata personally kuniomba radhi na kunishawishi nimpe kazi kwani ana miaka miwili bila ajira sikuweza kupata nafasi.

Mpaka sasa sikuweza kuwasiliana naye tena ingawa mwaka 2017 alikuwa akinitumia sms za salaam kiukweli sikuweza kumjibu mtu akitweza utu wangu huwa nampuuza jumla

WADADA ACHENI MAJIVUNO
 
Kiukweli mimi iko tofaut nina mwili na sura flani ya kiboss niki chomekea unaweza kujua nina miliki kampuni au ni mtu flani wa kitengo ninacho shukuru popote ninapoingia huwa ninachangamkiwa sana hata barabaran trafki nikiwapiga mkwara huwa wananiachia kwa adabu zote.
 
Matokeo ya form 6 yalitokaga nikiwa nimepiga vizur sana pcb ila kwakipind kile halihaikuwa vizur nyumban kuanzia pesa ya nauli na mambo mengine na mbaya zaid mzee alikuwa mgonjwa na mm ndo nilikuwa mtu wa kutoa msaada na kusimamia mambo madogo madogo yanayoendesha familia

Basi kwa pale mtaan weng walikuwa wananifaham kupitia mzee kwan mzee anafahamika sana hasa kwa ugwiji wake wa kucheza drafti na huko alikuwa anawaambia wenzake kuwa nimefaulu vizur sana sasa wakashangaa mbona siend chuo nimekaa nyumban kazi ni kufanya vibarua na kusaidia kaz za nyumban kiufup nilipata wakat mgum kipind kile kwan jamii yote ilijua nimefeli bas wengine walikuwa wananipa moyo na wengine wakinikejel mwaka uliofuata nika apply nikatapa chuo na kwakua walileta madharau niliwaambia home wasiseme chochote nikaingia chuo nikirud likizo nikiulizwa uko wap sikuizi jibu ni hili nipo dar natafuta maisha nilisoma coz yangu na nikahitim

Basi nikaenda kufanya internship hospital ya mkoa ambapo wilaya yetu ipo
Nilikutana na mama mmoja ambae alikuwa kati ya watu walikuwa wakinishambulia kipind kile kwan bint yake aliomba nimfundishe na yeye akawa anamwambia ukifundishwa na mjinga utakuwa mjinga [emoji28] alinikuta pale akaishiwa poz na mm bila hiyana nilitimiza wajib wangu alienda kueneza habar hiz kule mtaan na nilivyokuwa naenda walikuwa wanajipendekeza kama sio wao yan
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😀😀😀😀😀
 
Lucy....
 
Kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi kampuni flani.Basi siku hiyo ninetoka kufanya mazoezi ya kukimbia kama kawaida yangu asubuhi.Halafu kipindi hicho mvua ilikuwa imenyesha usiku,Sasa ninerudi pale kazini nikawa nipo napiga story na walinzi zile raba na track zimechafuka balaa.Wakaja wadada wawili na boda boda mi nkaanza kuwasalimia kwa bashasha afu ndo nilikuwa naondoka kujipiga maji.Basi wale wadada wote walinipandisha kuanzia juu hadi chini wala hawakuitikia salam wakanipita wakaenda kwa walinzi,Basi mi nkaona noma nkaondoka zangu.Kumbe wale wadada wamekuja kumuulizia meneja wameleta barua za kuomba kazi na meneja mwenyew ni mimi.Nilivorudi walinzi wananambia wale wadada walikuwa wana shida na wewe wameacha barua zao za kuomba kazi.Nikasema mbona hawajanisubiri wakasema wameona aibu,jinsi walivokudharau.Kesho yake wakarudi kuomba nnamba zangu kwa walinzi mi sikuwepo nilienda mkoani walinzi wakanipigia nikawaambia wapeni tu.Kila mmoja akawa ananipigia kwa mda wake,na wote walichezea rungu ila kazi hawakupata walikuwa wangoni mmoja alidata hadi tukabahatika pata mtoto.
 
[emoji16]
 
Nimecheka kindezi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
 
Mkuu tuelezane kidogo. Wewe ni meneja??[emoji848]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanaume mnatuchora sana wadada
 
Wanawake wanapenda readymade kinoma

Kwahiyo mkuu hujamuoa umemzalisha tu?
 
Nahitaji mishe nilipe madeni

Kwan ABSA hawakulipi vizur?
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huu uzi umejaa chai tupu, kila mwanaume ni " meneja"

Mmoja tu humu kwenye huu uzi namuamini na story zake coz namjua, yuko njema lkn hafananii kabisa na visenti vyake[emoji16][emoji16]
 
Nawe ni " meneja" mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…