Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Kunasiku Weekend nilikuwa bored ukizingatia mama watoto wangu alisafiri kikazi LA nikafikiria kwenda sehemu locally nibarizi nikaona ni drive mjapani kutoka mikocheki Aim nipitie kufanya Shopping ya baadhi ya zaga ambazo nitazitumia nikifika ufukweni basi nikatoka nyumbani mikocheki mpaka Mcity nikafanya Shopping ile natoka napakiza zaga sindio nataka kufungua mlango niingie kwenye mpira mlinzi kanidukua akaanza kunidandia unataka kufanya nini gari la watu wewe mwizi nimepigwa nabutwaa namwambia Afande tatizo nini huu mpira wangu basi nikawaonesha Documents ndio wakaamini mimi nikaingia nawasikia aisee watoto wa washua mtoto mdogo anaPush Gari kama hii.

Walinikata moto wote ile siku nikarudi zangu Mikocheni kulala tu.
 
wasalimie hapo mikocheni mkuu
 


Mkuu umenigusa, Mimi sipendi salamu kabisaa. Na pia sipendi kuambiwa ahsntee , nikitoa msaada ukipiga kimyaa huwa nafrai ukinambia ahsntee Kwanza Mara nyingi sijibugi naweza chomekea kitu kukwepa kujibu ahsante yako.
 
Mmmh sijaelewa hapo she is gud looking,kama ulienda kwa swaga za broken hiv lazima akuzalau,
Pili hii hadith ya uongo maana kama hii nishaikita fb na mwalimi wangi interegecy alishawai tolea mfano kwemye somo la intramidial pre asumption
 
Hahahaha nimecheka sana
 
Mmmh wee jamaaa una sifa si utuambie tu una gari kali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ndoa bahaaatiiii
 
Mimi kundi langu la form two shule ya kata wote walifeli. Kundi langu la form four wote walifeli. Kundi langu la form six walifeli karibia wote na wengine wakapata chache. Chuo hadi sasa sina kundi lolote. Kwanza nazungukwa na watu wako busy na masomo. Ila tatizo naonekana nina uwezo mwingi sana kuliko uhalisia mpaka unakuwa utumwa kwangu.
 
Miaka 20 ilikuwa ni around 2000 na simu za kumilikiwa na madereva daladala hazikuwepo. Madereva wakadrive km kadhaa kuja kuonesha magari nanyi mkiwa mmengojea[emoji23]
 
Siku nyengine nilikuwa na meeting na wawekezaji ambao walikuwa tunafanya kama partnership na kampuni yao in terms of cammision based, ile meeting tulikuwa tunafanyia pale Akemi lwasababu ile ni Open Restaurant kwa mtu yeyote nilikodi Restaurant yote kukawa na walinzi wakuzuia watu wanaoingia hawausiki kazi yote ya kuOrganize kikao nilimuachia PA wangu nilichelewa kidogo sasa kufika pale mjengoni nikapanda na lift kufika mlangoni walinzi wananizuia shuka chini PA wangu akaona akawaambia 'BOSS' aisee waliomba msamaha nikawaambia Cool.

Watu wengi hawaamini kuona kijana wa makamo nina mafanikio niliyonayo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…