Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Aisee!!!! Mungu azidi kukubariki kaka wamebaki wachache km ww duniani
 
Nilikuwa na shughulika na uso wake tu,,

Kama naua nyoka..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah lol. Wee una roho mbaya kumbe heeh, ukawa unataka kuharibu kivutio cha mwenzio.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah lol. Wee una roho mbaya kumbe heeh, ukawa unataka kuharibu kivutio cha mwenzio.
Hapana mkuu,,,ndivyo mchezo wenyewe ulivyo.

Nikajumlisha na hasira za mtaani..

Baada ya tukio lile hakuonekana tena gym..
Na mtaani tunapishana kama hatujuani..
 
Hapana mkuu,,,ndivyo mchezo wenyewe ulivyo.

Nikajumlisha na hasira za mtaani..

Baada ya tukio lile hakuonekana tena gym..
Na mtaani tunapishana kama hatujuani..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah ko alikuja kupokea kichapo cha kukudharau na kuyeya mazimaah. Daaaaah
 
Big lesson today...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Safi
 
Manina wallah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aissee.. pambana mkuu umalizie hiyo 2 ili idumu milele. Nakuombea bana uzishinde changamoto.
 
Hahahaaaa
 
Huyo mwamba amenichekesha sana na miwani yake myeusi kumbe muhudumu tu,dah wabongo wana visa sana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Watu kama hao ndio dawa yao wana viherehere sana
 
Kudadeeki hapo waliisoma namba ya kirumi,safi sana
 
nimesoma visa vya watu kibao ila hiki nimependa na kuna funzo ndani yake
 
Kiufupi alitumia approach mbovu yaani alienda kienyeji kama sehemu ina watu wengi halafu umkute mtu ana stress zake atakuaibisha mbele za watu.
Kuna njia za kistaarabu kama kumtumia muhudumu ataenda kuongea naye kimyakimya kama ikibuma huwezi kuaibika.
Unaweza kukurupuka kumfuata mtu wakati mwingine utakuta anamngoja mme wake itazua tafrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…