Shida Zetu
JF-Expert Member
- May 9, 2016
- 305
- 835
Aliekwambia sijaelewa nani?
Mkiu, swali ulilouliza linaonyesha hujaelewa content ya ile comment
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliekwambia sijaelewa nani?
Wewe ndio hujaelewa kwanini nimeuliza.Mkiu, swali ulilouliza linaonyesha hujaelewa content ya ile comment
Nimeandika digilii, umesoma vizuri au huna digilii wewe!Huu mwandiko si wa mtu mwenye ' digrii' nakataa katu katu[emoji21][emoji21][emoji21]
AiseeMimi sijafukuzia uzi hata. Ni kwamba nineunganisha vitu kibao nikisema hapa nitakuwa nakosea maana nyingine ni kosa kwa sheria za JF. Na hata si uungwana mambo yake namwachia mwenyewe.
[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmemwona,naona anajifariji labda akiamka itakua kweliWe jamaa hukomi tu, kujimwambafai[emoji15][emoji15][emoji15][emoji86]
scorpio me kuna mtu anakuchokoza bado[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Busy na "PA" wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji2772]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]msalmie PA wako jirani.[emoji1787][emoji1787]ABSA TZ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji16]
ABSA kama ABSA
"Na PA wangu"
Aah jf[emoji86][emoji86]
Kumbe ni YEYE[emoji1781][emoji1781][emoji1781]We Umom.i una matatizo sana
Kwanza ulifufuka lini? Si ulikufa wewe[emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji1787]
Dogo unapenda kiki sana daah!
Mrejesho wa nini hemu weka link ya utangulizi wa story yako.Mrejesho: Nimerudi tena leo pale stationary kwa yule dada aliyeniletea nyodo
Ilibidi nirudi kwa sababu huduma niliyohitaji hakuna mahali pengine lazima nirudi ama sivyo ilikuwa n'tolee huwa sipendi madharau
Wakati anajaza taarifa zangu kwa ajili ya application fulani mambo mengi aliniuliza nikawa namjibu, alipofika kwenye wizara akaitaja mwenyewe nikamuuliza umeijuaje akasema namnukuu "Kwani sikujui wewe"
Nikabaki mdomo wazi, nilipomaliza nikaondoka lakini nikiwa na maswali mengi, kwahiyo aliniletea nyodo kunionyesha? Maana lazima ni kunionyesha wala sio kunilipiza kwa kuwa hajawahi kuja kazini kwangu nikamfanyia nyodo
Lakini unamuonyesha nini mtu asiyekufahamu? Navyojua ni rahisi kumuonyeshea mtu mnayefahamiana sasa msiyefahamiana inaathiri nini?
Au yumo humu na alisoma maana leo tumeenda vizuri kweli angalau nikiuliza nisichofahamu anafafanua mpaka maelezo yanafurumia(ya kuzidi yaani?
We mdada wewe Mungu anakuona[emoji3][emoji3][emoji3]
Siku mbili tu zilizopita nimesumbuliwa sana na kidada kimoja katika stationary fulani, sijui ananionaje
Amesababisha shughuli ya siku moja imechukua siku 2
Nasubiri anikute katika anga zangu, japo sipangi kulipiza kitu ila watu wajifunze kuheshimu mtu yeyote
Yes hapa safi sio unawekaweka tu.Mzee wa PA pita hapa
Yes hapa safi sio unawekaweka tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]billnass atakuzingua mkuu.
[emoji122][emoji122][emoji122] barikiwaKatika kitu Mungu kaninyima ni nyodo na dharau, naheshimu kila mtu kwa wakati na nafasi yake, siingii gharama yoyote watu wote ni sawa na dunia duara
Japo sijaelewa story ila alivyotaja mwenyewe ulitakiwa uwe Cool usingemuuliza mwenyewe ndio angejiuliza mbona mwamba haja give fuc***k ndivyo Gentlemen anavyofanya.Mrejesho: Nimerudi tena leo pale stationary kwa yule dada aliyeniletea nyodo
Ilibidi nirudi kwa sababu huduma niliyohitaji hakuna mahali pengine lazima nirudi ama sivyo ilikuwa n'tolee huwa sipendi madharau
Wakati anajaza taarifa zangu kwa ajili ya application fulani mambo mengi aliniuliza nikawa namjibu, alipofika kwenye wizara akaitaja mwenyewe nikamuuliza umeijuaje akasema namnukuu "Kwani sikujui wewe"
Nikabaki mdomo wazi, nilipomaliza nikaondoka lakini nikiwa na maswali mengi, kwahiyo aliniletea nyodo kunionyesha? Maana lazima ni kunionyesha wala sio kunilipiza kwa kuwa hajawahi kuja kazini kwangu nikamfanyia nyodo
Lakini unamuonyesha nini mtu asiyekufahamu? Navyojua ni rahisi kumuonyeshea mtu mnayefahamiana sasa msiyefahamiana inaathiri nini?
Au yumo humu na alisoma maana leo tumeenda vizuri kweli angalau nikiuliza nisichofahamu anafafanua mpaka maelezo yanafurumia(ya kuzidi yaani?
We mdada wewe Mungu anakuona[emoji3][emoji3][emoji3]
Ongea na PA wangu.Madeni yako ulilipa?
Japo sijaelewa story ila alivyotaja mwenyewe ulitakiwa uwe Cool usingemuuliza mwenyewe ndio angejiuliza mbona mwamba haja give fuc***k ndivyo Gentlemen anavyofanya.