mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Sinaga makuu na mtuWasamehe bure mkuu 😄 😄 😄
Unajua roho flani hivii ya kuona sasa wao ndo wananitaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sinaga makuu na mtuWasamehe bure mkuu 😄 😄 😄
👍Msimamo mzuri ulionao
Wasaidie na wenzio kama ulisha mkaushia usiende kujirahisisha rahisisha
Hahaaaaaa utakuwa mnyalukolo wewe, nyoronyoro[emoji16][emoji16]Mimi ilishawahi kunikuta wakat tupo chuoni kuna manzi mmoja hostel alikuwa ananichukulia mm nyoronyoro bwana ikatokea scenario nimetembelea room kwake yupo down sana bac ktk kumfarijifariji bwana tukazama deep sanaa
matendo yakikubwa yakatokea (friend match) nilimpelekea bakora za moto sanaaa yaan dogo alilalamika sanaa unagusa mfuko wa uzazi baasi kuanzia siku iyooo hakunichukulia poaa tenaa .
Hope sijatoka nje ya maada
Mkuu tunasubiri muendelezoniliingia duka la nguo nkiwa nmeloa vumbi yani nlkua nmetoka mgodini af kama abiria wa pikpik (so nltaka nbadlishe nguo niwe safi niendelee na mambo yangu.
duka kubwa tuu safiii nkamkuta mdada sasa kila nkishika kiatu nkiuliza bei ananambia angalia kwe soli kwa sauti na jicho la dharau nkishika jins somtym hata bei haniambii nkakasirika nkaondoka sasa nkawa nmesimama pembeni ya dukalake najishauri nianzie wapi tena ghafla mwenye duka na ambae tnafahamiana maana kila nkitoka huko napitiaga pale kuchukua nguo za kubadilisha so ananielewa vizur tuu hata kazi yangu anaijua akaniuliza F vipi nkatiririka yote nkamwambia icho kidem dukan kwako kinadharau ataree ad nmesusa kukuchangia jamaa aljiskia vibaya na aibu sana kumbe ni mkewake
tukaingia ndani akannunulia na chips nkamuungisha tena na discount af30 na akanisindikiza hadi gesti....
skuizi nkiendaga nampigia cm kumuuliza kamayupo dukani kama hayupo siendagi
nyingine nliendaga kueka ela bank kila nkikabidhi ile karatasi mdada wa dirishan ananambia akisomeki mwandiko mmbaya kama ×2 ivi nkamwambia em npe ela zangu nkaenda kwa meneja ni mshkaj wangu sana tunafanana tabia nkaweka ila nlimwambia huyu mfanyakazi wako hadi nmkule ila sjamla maana sio mzuri kufananisha na nnaokutananao
kuna trafki morogoro alkua anapenda sana kunikamata yani akiiona gari tu af ni wakike......ITAENDELEA [emoji16][emoji16][emoji12]
Mmmmh nnNdo maana
Tuyaache mremboMmmmh nn
Ulifanya LA maanaKuna siku niliazima gari nikaenda pale best bite kuchukua zaga.
Sasa nilivyoingia ndani nikakutana na pisi tatu za kwenda zinatoka ndani, nikazipa hi zikachuna full kunipandisha na kunishusha, nikaona POA tu nikafuata kilichonipeleka.
Sasa ile natoka nje nikazikuta ziko bize zinajisnap kwenye gari niliyokua nayo, hiii bagoshaaa, mbona walikoma kunijua.
Nilianzisha zogo la maana makusudi kabisa, nikaita mpaka uongozi wa pale nikawaambia wawaambie wateja wao wafute picha zote walizopiga gari yangu otherwise niite Askari pale obey waniambie Wana lengo gani na picha za mkwaju wangu?
Mmmmmh wee lolTuyaache mrembo
Mimi naweza kwenda kinyume na hiiUtakuwa ni mtu wa ajabu sana muonekano wako. Hebu tutumie picha tukuone.
Enzi zetu magenius wengi ndio walikuwa wachafu wachafu wa kutokuoga, kufua na kupiga mswaki.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Hapo ndo kaharibu.Ungevunga baada ya kutambuana. Ungechukua point tatu vyema, kabisa. Badala ashoboke yeye ukashoboka tena kwa mara ya pili.
Outward appearance?Usimdharau yeyote kwa outward appearance,utakuja kuumbuka....heshimu mtu yeyote aliye mbele yako hata kama anaokota makopo
Tokea hii itokee zimepita Kama wiki tatu hivi....
Baada ya kumaliza chuo huku ajira zikiwa ni ndoto za Abunawasi Kama sio Alinacha, mzee wangu aliamua kunipiga tafu ili tusije kulaumiana huko mbele. Alifumba macho akavunja kibubu akanunua trekta jipya "Massey Ferguson 275" likiwa na tela pamoja na majembe yake halafu akanikabidhi funguo na kadi na kuniambia Kama ninataka mali nitazipata shambani..!
Kuna siku niliazima gari nikaenda pale best bite kuchukua zaga.
Sasa nilivyoingia ndani nikakutana na pisi tatu za kwenda zinatoka ndani, nikazipa hi zikachuna full kunipandisha na kunishusha, nikaona POA tu nikafuata kilichonipeleka...
?
Kuna dada mmoja alinizungusha sana karibu miezi minne sijapewa nyau hadi nikazira nae akaona afadhari akanipotezea. Kazini kwake ikaletwa pisi moja ambayo niliielewa zaidi yake. Siku moja nimekutana nao wote wawili akanitambulisha kwa hiyo pisi kama mimi ni ex wake, moyoni nilifurahi kwa kupata uhuru wa kuishushia madini ile pisi ngeni. Nikawmwomba niwapeleke lunch akakubali (ilikuwa ndo mara ya kwanza amekubali nimpeleke out) kule nilifanya matumizi ambayo yalimfanya yeye mwenyewe aanze kujilegeza wakati huo mimi akili yangu imeshavurugika juu ya yule mgeni. Nilipata muda wa kuomba namba kwa mgeni nikapewa, hakunisumbua sana weekend iliyofata nikaanza kumkula ile kitu. kichekesho ex akaanza kujilleta, sikumwacha nikamkula, sasa eye ndo akawa mchepuko huku mgeni ndo mwenye mali hadi leo. Tukikutana sometimes huwa anajilaumu kunipiga kalenda nyingi.Wadada tunafeli Sana kushoboka na handsome boys, smart with six packs na kupishana na magari ya mshahara halafu tukijigundua tumebugi tunaanza kujilegeza kujichekesha na kujitongozesha, mwishowe ni kudharauliwa kushusha thamani nk,
Mi huwa sibadili msimamo Kama sijakuelewa nakukataa tu kiroho safi ikitokea nikajua status yako iko njema sishoboki najiambia si bahati yangu acha apite tu