Nimesoma nyuzi zako za nyuma...unasema mwanzo mlikuwa mnaishi kwa upendo na amani.Asante sana..siwezi kutoka nje ya ndoa
Ila sasa unajua binadamu tupo tofauti tulivyoumbwa yaani mimi ni ile type ya siwezi ku ignore kabisa hata kama nikinyamaza nitaingia chumbni na nitalia sana.
I wish niwe na uwezo huo nahisi naweza kusogeza siku mbele maana naona mambo yamenilemea sana.
Ushauri nilimuomba mama yangu ki ukweli huwa anasema nipambanie ndoa ila mimi siwezi kabisa.naona nimeshindwa kuhold on..nazipi kupata maumivu tu kila uchao
Uvumilivu huwa una kikomo pia!!Ningekua nimesimama kiuchumi hata kesho ningeanza upya.
Inaumiza sana kuishi na mtu asiekupenda ila wewe unampenda ni bora na wewe mapenzi yawe yameshaisha
Kwenye ule uzi...kuna mtu aliniambia WEWE NDO UNAMPENDA NA SIO YEYE yaani tunaishi kwa amani kwakua nampenda so vitu anavyofanya nina ignoreNimesoma nyuzi zako za nyuma...unasema mwanzo mlikuwa mnaishi kwa upendo na amani.
Kwanini unahisi kabadilika?
Unajua watu jf wanafikirigi watu wengine wanaletaga stor ila aisee kuna point mtu unafikia unahitaji msaada kabisaaUvumilivu huwa una kikomo pia!!
Kuna siku huo upendo utakoma, ndo ari ya kusimama mwenyewe itakapokuwa kubwa!!
Kusimama kiuchumi ni taratibu mamii, save kidogo kidogo upate kamtaji ka kuanzia! Kwa sasa inabidi uvumilivu uwepo kwanza!
Hakuna kitu kinaumiza kama hicho, mtu anachukulia advantage ya wewe kumpenda kukuumiza, hajali wala haoni umuhimu wa uwepo wako!! I feel you dear!
Haya maisha hayaTo be honest he made up time for me later on.
Hakuna atakayeelewa maumivu yako mpaka siku ayaonje kidogo! Ni kuombeana tuu!!Unajua watu jf wanafikirigi watu wengine wanaletaga stor ila aisee kuna point mtu unafikia unahitaji msaada kabisaa
Yaani natamani ni attach sms moja hapa ila aia maana
Maana mimi nilimwambia sipendi haya maisha ya manyanyaso kwangu akasema
Haya maisha wewe ndo utakaeumia maana mimi siumiagi nadhani unajua hilo
Yaani nikajiuliza kuna mtu duniani asiemia kwa namna yoyote?
Ndoa nyingi unazoziona sio kwamba wenza wanapendana kwa viwango sawa masai dada lakini zina move. Mwanaume anaweza asiwe anakupenda ila anakuheshimu na kukuonea huruma kwa kuyaangalia maumivu na machozi unayodondoka kila uchwao.Kwenye ule uzi...kuna mtu aliniambia WEWE NDO UNAMPENDA NA SIO YEYE yaani tunaishi kwa amani kwakua nampenda so vitu anavyofanya nina ignore
Amina...Hakuna atakayeelewa maumivu yako mpaka siku ayaonje kidogo! Ni kuombeana tuu!!
Yeye haumii labda sababu moyo wake ulishakuwa sugu, nawe sasa inabidi uufanye moyo wako uwe sugu japo ni ngumu sana! Nami nilishaambiwa hilo, haumii kwa lolote! Sasa dear inabidi ujifunze kupuuzia japo inauma ila utazoea, umuombe na Mungu akusaidie maana mwenyewe hakika huwezi!!
mi nishamuulizaga mara kibao tu kuhusu mwanangu..ila hanipagi jibu .ngoja nijaribu kudadis hilo.Ndoa nyingi unazoziona sio kwamba wenza wanapendana kwa viwango sawa masai dada lakini zina move. Mwanaume anaweza asiwe anakupenda ila anakuheshimu na kukuonea huruma kwa kuyaangalia maumivu na machozi unayodondoka kila uchwao.
Ni vyema ukajua mmeo alipoanza kubadilikia kama mwanzo mlikuwa na amani. Kipi kilimfanya aanze kuwa na hizi tabia za kutokukupa attention. Ok hakupendi wewe, je mwanae wa kumzaa?
Inaenda mbali unasema hata mtoto wake pia hamthamini kama anavyomthamini wa mama mwingine. Kwanini? Kuna ishu hapa ulitakiwa uigundue na kama bado haujaigundua jaribu kudadisi.
Coment yako imenilizaDaaaaahh umeongea kwa hisia Sana hadi nimeumia kwa kweli pole Sana Dada angu
Ninacho weza kukwambia ni kwamba huyo ni mmeo hivyo usifikilie kumsaliti ila fikilia kumuweka karbu Zaid na Zaid haijalishi itakugarimu kiasi gani kwauda wako na kwa hisia zako but hakikisha una fanikiwa katika hili
Unaweza kuomba nafasi ya kutoka out ukiwa wewe na yeye tu hapo nenda kamuoneshe jinsi gani una mpenda na hauko tayar kumpoteza mpe mapenzi kwa hisia za ndani Sana shoe him how worth he is then baada ya yote mwambie you need a peaceful life na yeye ndie mwenye peaceful life kwako hivyo asikuumize tena
Pia katika out yenu akiwa kwenye mudi nzuri ongea nae juu ya future yenu kuhusu mwanao na huyo na mwanae yule mwambie wote ni wake na wote wanajua yeye kama baba yao hakuna mwingine Zaid yake hivyo ni bora kujenga future sawa kwa wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri pesa yako imeshiriki cha msingi ni kuwacna ushahidi wa jinsi ulivyotoa pesa yako kuongezea.Aisee hao ndugu zake watanitoa roho
Pole sana mpenzi. Kama mtu hajapitia unachopitia anaweza fikiri ni story tu kama za Iddi Makengo ila kiukweli haya mambo yapo na yanaumiza.Amina...
Yasikie kwa mwenzio ndoa kikristo aiseeNdoa yenu ni ya Kiislaam, Kikristo, ah ya serikali, mimi ninachoona umeigamia sana kwenye Mali na umesahau mapenzi m-treat Mr vizuri atakuja kubadilisha msimamo maana wote ni wanae.
Ila kuhusu kulala na Bint yake jamaa kaonesha udhaifu mkubwa sana na kuonesha hana mapenzi na wewe zaid ya mwanae
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naona km mtoa mada alianzisha migogoro ya Mali (Nyumba) ikapelekea haya na jamaa kuona ivyo kaona km mkewe macho yake yapo kwenye mali zaidi ya kutunza familiaNimesoma nyuzi zako za nyuma...unasema mwanzo mlikuwa mnaishi kwa upendo na amani.
Kwanini unahisi kabadilika?
Ndiyo maana nasema hii kesi atafute watu wazima wanao jua hili suala atleast A-X if not Z.Mimi naona km mtoa mada alianzisha migogoro ya Mali (Nyumba) ikapelekea haya na jamaa kuona ivyo kaona km mkewe macho yake yapo kwenye mali zaidi ya kutunza familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Dada ila yote ni mapito na nakuombea uyashinde yote [emoji120]Coment yako imeniliza