Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Nimesoma nyuzi zako za nyuma...unasema mwanzo mlikuwa mnaishi kwa upendo na amani.Asante sana..siwezi kutoka nje ya ndoa
Ila sasa unajua binadamu tupo tofauti tulivyoumbwa yaani mimi ni ile type ya siwezi ku ignore kabisa hata kama nikinyamaza nitaingia chumbni na nitalia sana.
I wish niwe na uwezo huo nahisi naweza kusogeza siku mbele maana naona mambo yamenilemea sana.
Ushauri nilimuomba mama yangu ki ukweli huwa anasema nipambanie ndoa ila mimi siwezi kabisa.naona nimeshindwa kuhold on..nazipi kupata maumivu tu kila uchao
Kwanini unahisi kabadilika?