Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Hii kauli ya iko siku atakupigia magoti ni siku gani hiyo kumbuka kuna presha kwa ajili ya mawazo hajui lini atafurahia ndoa yake tena.
 
Ushauri wako ni mzuri sana, ila hizo (x, badala ya s au z) zimepunguza uzito wa ushauri wako!
 
Hakuna kitu nachukia kama dharau kuna comment Masai dada ameandika mumewe ana mjibu "mimi sitaumia wewe ndio utaumia" hakika kuna watu mna uvumilivu wa chuma.
Mumewe ni mjeuri kwa asili, na nguvu ya hiyo kauli unatokea kwenye upendo wa dhati alionao mkewe kwake ila nakuhakikishia mkewe akimbadilikia hataamini na atashtuka kukiwa tayari kumekucha na jeuri zote hizo atakuwa mdogo km piriton.

Halafu hawajuagi kuwa ukiona wife anafatilia na kukulilia sana ujue anakupenda kwa dhati lakini ukiona wife ahangaiki na wewe ujue hapo pameshaanza kuchimbika

Waliambiwa watumie akili kuishi na sie lkn sijui akili wamepeleka wapi haya mafurushi!!

mwanamke mwenye jeraha la kihisia ni mbaya kuliko kiumbe chochote kile wasitufikishe huko,,( umeona kuna mahali anasema akilia mbele za Mungu, mumewe anapata maswahibu makubwa)
 
Mkuu nina uwezo wa kupambana ila kuna mru alinishauri akasema ni vyema ujipange kivyako.hapo utatolewa roho
 
Yaani hata mimi nasema niwe na ujasiri tu wa kuignore mambo yake ila nahisi ninampenda ndp maana nasumbuka
 
Yaani hata mimi nasema niwe na ujasiri tu wa kuignore mambo yake ila nahisi ninampenda ndp maana nasumbuka
Hiyo ndo pona yako kupuuza kusamehe na kuendelea na yako

Itakuepushia vidonda vya tumbo sukari presha nk

Itakupa amani wewe, mtoto na nyumba yako
 
Mi mwenzenu naonaga Idd Makengo zile storee anatunga[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: amu
Sikuwahi kuwaza kama mtu anaweza akafikia hatu ya kuacha kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…